BENKI YA NMB YAFANIKISHA KUFANYIKA ‘KIDS CIRCUS CARNIVAL’

      BENKI ya NMB Tanzania jana iliungana na Watanzania nchini kusherehekea Siku Kuu ya Eid El Fitr kwa kuwa mmoja wa makampuni wadhamini wa tamasha lililoandaliwa na kampuni ya Azam la Kids Circus Carnival ambalo limehusisha watu wa aina mbalimbali kuanzia watoto na hata watu wazima kufurahi kwa pamoja. Tamasha hilo ambalo linafanyika kwa siku mbili mfululizo yaani …

WANAWAKE WACHEZA SOKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO

  Kundi la Wanamichezo 60 wakiwemo wachezaji 30 wa timu za taifa za wanawake kutoka mataifa zaidi ya 20 walioshiriki kuweka rekodi ya kucheza soka katika eneo la kreta lililopo katika kilele cha Uhuru. Baadhi ya wachezaji walioshiriki mchezo wa soka katika Kilele cha uhuru, Mlima Kilimanjaro. Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) Betrta Loibook akiwa …

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI SWALA YA IDD EL FITRI MJINI MOSHI

  Waziri Mkuu wa Tanzania,Kassim Majaliwa akiwasili katika msikiti wa Riadha mjini Moshi kwa ajili ya Swala ya Eid el Fitri iliyofanyika kitaifa mjini Moshi. Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika Msikiti wa Riadha mjini Moshi. Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa aikishiriki Swala ya Idd el Fitri iliyofanyika kitaifa katika msikiti wa Riadha mjini Moshi. Baadhi ya waumini …

MATUKIO PICHA SHEREHE ZA EID EL FITR DMV…!

Kushoto ni Balozi Mustafa Nyang”anyi akijumuika kwenye sherehe ya Eid El Fitr na Watanzania DMV. Balozi Mustafa Nyang”anyi akifuatilia sherehe ya Eid El Fitr iliyofanyika Sliver Spring, Maryland siku ya Jumapili June 25, 2017, kulia ni Seif Ameir. Watanzania DMV wakijumuika pamoja katika sherehe ya Eid El Fitr iliyofanyika Silver Spring, Maryland siku ya Jumapili June 25, 2017.     …

Asasi ya Marafiki Charity Tanzania Wafuturisha Watoto Yatima Dar

ASASI isiyo ya Kiserikali ya Marafiki Charity Tanzania ‘Marafiki Charity’, kwa umoja wao jioni ya jana Juni 24. 2017, wameweza kujumuika kwa pamoja katika tukio maalum la kufuturisha katika kituo cha kulea watoto Yatima cha CHAKUWAMA. Marafiki hao waliweza kuandaa futari hiyo maalum na kwenda kujuika pamoja na watoto wanaolelewa kwenye kituo hicho cha CHAKUWAMA, chenye makazi yake Sinza-Mori (CHAKUWAMA). Aidha wakitoa …