Wafanyakazi Mohammed Enterprises, MeTL Wachangia Damu

  Wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Match Industries Limited ambayo ni kampuni tanzu ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group) wamejitoa kusaidia maisha ya mamia ya Watanzania kwa kujitolea damu ambazo zitatumika katika hospitali mbalimbali nchini. Katika tukio hilo la kujitolea damu ambalo lilifanyika kwenye ofisi za kampuni hiyo, wafanyakazi 40 walijitolea damu zao ambazo zitapelekwa kusaidia wagonjwa katika hospitalini …

Malori 103 yashikiliwa Njia Panda Himo Yakisafirisha Mahindi kwenda Kenya

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira akiwa ameongozana na baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Kilimanjaro wakiwemo Kamanda wa Polisi, Hamis Issah na Mkuu wa wilaya ya Moshi, Kippi Warioba wakitembelea maeneo ambayo yameshikiliwa magari yaliyobeba shehena ya Mahindi. Baadhi ya Wafanyabiashara ambao Mahindi yao yanashikiliwa katika eneo la Njia Panda mkoani Kilimanjaro …

Rais Magufuli Aivunja ‘Big Results Now’ Wafanyakazi Wahamishwa…!

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Juni, 2017 ameagana na wafanyakazi wa iliyokuwa Ofisi ya Rais, Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (President’s Delivery Bureau – PDB) ambao wamehamishiwa katika ofisi na taasisi nyingine za Serikali kwa ajili ya kuendelea na utumishi wa umma. Wafanyakazi hawa ndio walikuwa wakisimamia utekelezaji wa …