Mkutano wa Madini Waairishwa Baada ya Kukosa Wadau Muhimu

  Baadhi ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.       Baadhi ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.       Baadhi ya wadau wa madini wakibadilishana mawazo …

Rais Dkt Magufuli Apokea Hati za Utambulisho Kutoka Kwa Balozi Wateule

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Brazil hapa nchini Carlos Alfonso Iglesias Ikulu jijini Dar es Salaam April 13, 16 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa nchi ya Jamhuri ya Czech hapa …

Maabara ya Kisasa, Lancet Yazinduliwa Kilimanjaro..!

  Mtafiti wa Magonjwa mbalimbali Dk. Ahmed Kalebi akizungumza na madaktari na wauguzi wa Hosptali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi  wakati wa warsha juu ya matumizi ya maabara ya kisasa iliyofunguliwa mjini Moshi kwa ajili ya kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali. Baadhi ya Madaktari na wauguzi katika Hospitari ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakifuatilia …

Rais Dkt Magufuli Apokea Taarifa ya Mwaka ya Utendaji ya TAKUKURU

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Mwaka ya utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Kamishna Valentino Mlowola Ikulu jijini Dar es Salaam April 11,2016 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hundi Kifani yenye thamani ya Shilingi Bilioni Sita kutoka kwa Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson mara baada …