Matukio Katika Picha Bungeni Mjini Dodoma…!

Wabunge wakijadiliana jambo ndani bunge Wabunge wakipata habari kupitia kwenye simu bungeni Mbunge wa Jimbo la Momba, David Silinde akichangia hoja bungeni Mbunge wa Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega akichangia hoja Majadilianao yakiendelea   Wabunge, Prosper Mbene, Dk.Mary Mwanjelwa na Allan Kiula wakiingia bungeni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akijibu maswali bungeni Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Kisanga akiuliza swali …

Rais Magufuli Azungumza na Viongozi wa CCM Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wenyeviti, Makatibu wa Chama cha Mapinduzi wa mikoa na Wilaya za Tanzania bara na Visiwani Ikulu jijini Dar es Salaam Baadhi ya Wenyeviti wa CCM wa Mikoa mbalimbali wakipiga makofi kumshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akitoa hotuba yake Ikulu jijini …

Waziri Mkuu Majaliwa Ashiriki Mazishi ya Askofu Isuja

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa Askofu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dodoma, Mathias Isuja katika mazishi yaliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la Mtakatifu Paul wa Msalaba jana Aprili 20, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Askofu Mkuu wa Jimbo la Dodoma , Beatus Kinyaiya katika mazishi ya Askofu Mstaafu wa Dodoma Mathias Isuja yaliyofanyika kwenye kanisa …

Maonesho ya Nne Madini Kimataifa Yazinduliwa Arusha

Mkuu wa wilaya ya Arusha,Fadhili Nkurlu akifungua maonesho ya kimataifa ya madini ya Arusha Gem Fair kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda leo katika hoteli ya Mount Meru .   Kaimu Kamishna wa Madini nchini,Mhandisi Ally Samaje akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo,alisistiza nia ya serikali kupambana na utoroshwaji wa madini nje ya nchi.   Mwenyekiti …