RC Said Sadicky Ajitambulisha Hai, Azungumza na Watumishi

  Baadhi ya viongozi wa Taasisi mbalimbali katika wilaya ya Hai wakiwa katika kikao hicho. Mkuu wa Wilaya ya Hai, Gelasius Byakanwa akizungumza katika kikao hicho. Baadhi ya watumishi na viongozi mbalimbali wa Dini wakiwa katika kikao hicho. Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Hai, Said Mderu akijibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa katika kikao hicho. Baadhi ya Wenyeviti wa vitogoji na …

Rais Dk Magufuli Amewaapisha Makatibu Tawala Wapya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha ndugu Albert Gabriel Msovela kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha ndugu Amantius Casmiri Msole kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016 …

UDOM Waendesha Mdahalo Maadhimisho Miaka 52 ya Muungano

  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Lugimbana akizungumza na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM -UDOMASA), wakati wa mdahalo wa miaka 52 ya Muungano uliofanyika katika Ukumbi wa Chimwaga  uliopo UDOM. Kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo  hicho,  Professa Idrissa Kikula.   Baadhi ya wanachuo na wanataaluma wakishiriki kwenye kongamano hilo la miaka 52 ya Muungano …

Polisi Kilimanjaro Yakamata Shehena Kubwa ya Dawa za Kulevya na Silaha

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, kamishna msaidizi, Wilbroad Mutafungwa akionesha misokoto ya Bhangi iliyokamatwa baada ya wahusika kufanikiwa kuwakimbia askari Polisi.   Kamnad wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,kamishna msaidizi wa Polisi,Wilbroad Mutafungwa akionesha misokoto 4500 pamoja na kilogramu 10 za bhangi ambayo haijasokotwa iliyokamatwa wilaya ya Siha baada ya wahusika kuitelekeza.   Sehemu ya Bhangi iliyokamatwa. Baadhi ya vitu …

Sherehe Mahafali Kidato cha Sita Sekondari ya Wasichana Weruweru…!

    Wahitimu wa kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Wasichana ya Weruweru wakiimba wakati wakielekea ukumbini kwa ajili ya kuanza rasmi kwa sherehe ya kuwaaga. Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru Rosemery Tarimo akimuongoza mgeni rasmi katika mahafali ya 31 ya kidato cha sita, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Joel Raulant (kulia) …

Rais Dk Magufuli Akutana na Balonzi wa China Dk Lu Youqing

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Dkt. Lu alifika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza masuala mbalimbali ya kimaendeleo na Rais Dkt. Magufuli. Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing akimkabidhi Rais Dkt. John Pombe Magufuli …