NSSF Katika Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi Dodoma

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara (katikati waliokaa), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori (kulia) na Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa NSSF nje ya Ofisi ya Mkoa wa Dodoma wakati wa sherehe za Sikukuu za Mei Mosi zilizofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika …

Waziri wa Afya Afunga Mkutano wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Dar

Mwenyekiti wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania (THERIA), Geofrey Semu akizungumza katika mkutano wa THERIA leo jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulioshirikisha wanachama wa THERIA kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania umefanyika kwa siku mbili mfululizo, Aprili 27 na 28, 2016 katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Muhimbili.   Katibu Mkuu wa Chama cha …