NSSF Wahamasisha Uandikishaji Wanachama wa Hiyari Temeke

Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye foleni kwa katika banda la NSSF kwa ajili ya kujiunga na mfuko huo katika kampeni maalumu ya kuelimisha na kuandikisha wanachama wa Hiari kampeni zilizoanzia Wilaya ya Temeke kwenye viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam.  Afisa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Aisha Sango (kulia), akiwajazia fomu baadhi ya wanachama wapya …