Rais DK Magufuli Afungua Rasmi Majengo ya Kitega Uchumi ya NSSF na PPF Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi na wafanyakazi wa PPF na NSSF pamoja na wananchi wa jiji la Arusha kabla ya kufungua rasmi jengo la la Kitega uchumi la Mfuko wa Pensheni wa PPF jijini Arusha. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Fedha na …

Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete Ashiriki Mazishi ya Lucy Kibaki

Dk Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa Kenya Mh.Mwai Kibaki kufuatia kufiwa na mke wake mpendwa Mama Lucy Kibaki mjini Nairobi,nchini Kenya anaeshuhudia kulia ni Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta Mwili wa mke wa aliyekuwa rais wa Kenya Mwai kibaki , mama Lucy Kibaki ukiwasili kwa hapo jana katika eneo la Bunge la Odhaya kaunti ya Njeri,mjini Nairobi nchini Kenya …

Rais DK Magufuli Ashiriki Ibada Parokia ya Toleo la Bwana Jimbo la Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia waumini aliposhiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana katika Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8, 2016. Sehemu ya waumini wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipokuwa akiwsalimia aliposhiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa …

Tuzo za Wanafunzi Afrika Mashariki Kutolewa…!

   Aaron Ally (Dj Aaron Tanzania)Mratibu wa‘All-stars Students Awards Akiongea Kwenye Kipindi cha Morning Trumpet kuelezea tuzo hizo. Dj wa zamani wa Clouds FM, Aaron, yeye na Team yake (Ms Chiku Lweno, Mwl. Dany Mtanga) wameanzisha   Tuzo walizoziita All-stars Students Awards.  Hizo ni tuzo zitakazotolewa kwa wanafunzi wa shule za sekondari A-level na O-level za Afrika Mashariki. Alhamisi hii Dj Aaron alialikwa kwenye …