Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) Bw. Al Amin Yusuph akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues (aliyeipa mgongo kamera) wakati wa ukaguzi wa mwisho wa eneo la mradi wa kijiji cha digitali wa Samsung unaoendeshwa …
Wanakijiji Kilombero Kumburuza Mwekezaji Mahakamani
Mwangalizi wa LHRC, Wilaya ya Kilombero, Godfrey Lwena (kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu mgogoro wa ardhi dhidi mwekezaji wa Kampuni ya Usafirishaji ya Union ambaye anadaiwa kuchukuwa ardhi yao ambapo kesho wanakusudia kufungua kesi Mahakama ya Ardhi dhidi yake kwa msaada wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). Kulia ni mkazi wa kijiji hicho, Jimmy Mwasenga. Mkazi wa …
UNESCO, MWEDO Kuwapelekea Digitali Wamasai Ololosokwan
Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya Maendeleo ya wanawake wa Kimasai (MWEDO), Ndinini Kimesera (kushoto) akimkaribisha Mkurugenzi Mkazi wa Unesco nchini, Zulmira Rodrigues kwenye ofisi za asasi hiyo kwa ajili ya mazungumzo jijini Arusha. Na Mwandishi Wetu, Arusha SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, limesema kwamba litaingia ubia na asasi ya Maendeleo ya wanawake wa …
Unyama: Mwenyekiti wa Kijiji Auwawa, Viungo Vyake Vyapikwa
NI unyama wa kutisha umetokea katika Kijiji cha Songambele wilayani Mlele mkoani Katavi watu wawili wamemvamia Mwenyekiti wa Kijiji cha Songambele kisha kumuuwa kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili na sehemu zake za siri. Watu hao pia walimkata mkono wake mara mbili baada ya kufanya unyama huo kabla ya kuchukua viungo walivyokata kata kisha kuvitia kwenye sufuria, kuweka maji na kubandika …
Ulevi kwa Wazazi Kikwazo cha Malezi Kata ya Tembela
KITENDO cha baadhi ya wazazi kuendekeza unywaji wa pombe za kienyeji katika baadhi ya vijiji vilivyopo Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini kimesababisha wazazi hao kushindwa kuwasimamia vizuri watoto wao hasa wanafunzi jambo ambalo limesababisha kupoteza mwelekeo. Kauli hizo zilitolewa na baadhi ya viongozi wa vijiji mwishoni mwa mwaka jana walipokuwa wakizungumza kwa nyakati tofauti na mwandishi wa habari …
Familia Newala Zachangia Kuwalinda Wanyanyasaji
MKUU wa Polisi Wilaya ya Newala (OCD), Jeremiah Shila amesema baadhi ya wanafamilia wilayani hapo wamekuwa kikwazo kwa mapambano dhidi ya vitendo anuai vya kikatili kwa kile kuwalinda watu wanaokabiliwa na kesi hizo. OCD Shila alitoa kauli hiyo hivi karibuni alipokuwa akizungumzia utendaji wa Dawati Maalum la Jinsia na Watoto la Wilaya hiyo dhidi ya vitendo vya unyanyasaji. Mkuu huyo …