Mobisol Yanufaisha Familia Elfu 30 na Umeme wa Jua

KAMPUNI ya Mobisol yenye makao yake makuu mjini Berlini nchini ujerumani ambayo inajihusisha na uzalishaji wa umeme wa jua tayari imewaunganisha wateja wapatao 30,000 nchini Tanzania katika kipindi cha miaka 2 tangia ianze kutoa huduma hizi barani Afrika. Kasi hii ya ongezeko la wateja wanaotumia umeme nishati ya jua kutoka kampuni hii inadhihirisha kuwa uwekezaji wake unaendana sambamba na kuunga …

Agrics Yakabidhi Mbegu za Mahindi na Alizeti kwa Wakulima Mikoa ya Shinyanga na Simiyu

KAMPUNI ya Agrics imetimiza ahadi ya kuwakabidhi mbegu bora za mahindi, alizeti na mbolea wakulima wa Maswa, Meatu na Shinyanga vijijini. Zoezi hili limefanyika kwa wakati kufuatia msimu mpya wa kilimo kutazamiwa kuanza hivikaribuni. Kampuni ya Agrics iliwapa fursa wakulima kuchagua aina ya mbegu wazitakazo ili kuhakikisha wanapata kile wakipendacho.Wakulima wanaendelea kuandaa mashamba yao huku wakiwa huru kabisa kwani tayari …

UNESCO Kutekeleza Mradi Kuinua Bidhaa za Kimasai

Na Joachim Mushi, Ngorongoro SHIRIKA la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania linatarajia kutekeleza mradi wa ujenzi wa kituo cha sanaa ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo ya ujasiliamali wa bidhaa zinazotokana na mifugo kwa akinamama na wasichana kutoka Kata tano za Wilaya ya Ngorongoro kama jitihada za kuongeza kipato kwa familia za jamii ya Wamasai. Akitoa …

Prisca Mpesya Mama Anayeteseka na Watoto Albino

Ndugu zangu, LICHA ya kuuguza jeraha la kichwani pamoja na kumuuguza mtoto wake mdogo mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) aliyekatwa mkono na watu wasiojulikana, Bi. Prisca Shaaban Mpesya (28) amejifungua usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Rufaa Mbeya. Bi. Prisca, mkazi wa Kitongoji cha Kikonde, Kijiji cha Kaoze katika Kata na Tarafa ya Kipeta wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, alifikishwa …

Balozi Umoja wa Ulaya Atembelea Skimu ya Kiroka, Morogoro

Msimamizi wa mradi wa FAO kijiji cha Kiroka mkoani Morogoro, Ajuaye Sigalla, akitoa muhtasari wa maendeleo ya mradi FAO unaotekelezwa na wanakikundi wa Umoja wa Wakulima Kiroka (UWAKI) mbele ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) na Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Filiberto Sebregondi walipofanya …

Wamasai Walia na Uwekezaji Ngorongoro

  Kiongozi wa mila tarafa ya Ngorongoro, Augustino Pakai Olonyokei akizungumza na Meneja uendeshaji wa mtandao wa habari wa modewjiblog, Zainul Mzige aliyefika eneo hilo kwa ajili ya kuangalia miradi mbalimbali inayoendeshwa kusaidia jamii ya wafugaji wa kimasai hivi karibuni. KIONGOZI wa mila tarafa ya Ngorongoro Augustino Pakai Olonyokei ameitaka serikali kusimamisha uwekezaji katika Mamlaka ya Ngorongoro ili kupunguza shinikizo …