BENKI ya NMB imekabidhi madawati 660 kwa wilaya ya Kasulu kama mchango wake kwa serikali katika kukabiliana na uhaba wa madawati nchini. Madawati hayo yaliyogharimu kiasi cha shilingi Milioni 35 ni mahususi kwa shule za msingi tano na sekondari mbili za wilayani kasulu yenye nia ya kuwapunguzia uhaba wa madawati waliyonayo. Akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano ya madawati …
Naibu Waziri Jaffo Aguswa na Jitihada za Akinamama wa Kitanga, Kisarawe
Bi. Anna Salado, Mkurugenzi wa taasisi ya Women for Africa Foundation ya Hispania, akizungumza na akinamama wa kikundi cha Green Voices katika Kijiji cha Kitanga (hawako pichani) na kueleza jinsi alivyofurahishwa na mafanikio yao kwenye usindikaji wa zao la muhogo. NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jaffo, ameunga mkono jitihada za wanawake …
Wanafunzi Wasomea Chini Waiomba Serikali Kuboresha Mazingira
Na: Woinde Shizza, Simanjiro Mpango mkakati wa elimu bure kuanzia darasa la awali mpaka sekondari umeonekana kutonufaisha baadhi ya walengwa katika maeneo ya pembezeno hususani jamii ya kifugaji kutoka katika kijiji cha Kichangare wilayani Simanjiro Mkoani Manyara ambapo wananchi wameamua kumkodisha mwalimu na kumlipa kwaajili ya kufundisha watoto wao. Wanafunzi wa shule hii ya msingi Kichagare wamekuwa wanajisomea wakiwa wamekaa …
Mratibu Mkazi UN Atembelea Kiwanda cha Kuchakata Muhogo Rufiji
MRATIBU Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania (UN), Alvaro Rodriguez amefanya ziara ya kutembelea mradi wa kiwanda cha kuchakata zao la muhogo ‘African Starch Project’ kilichopo Kata ya Bungu, Wilaya ya Rufiji Mkowa wa Pwani kuangalia namna kiwanda hicho kinavyo ongeza thamani za zao la muhongo na kuboresha kipata cha wakulima. Katika ziara hiyo, Bw. …
Jamii ya Wafugaji Wampinga RC Kilimanjaro Mgogoro wa Lokolova
MGOGORO wa kugombea ardhi ya shamba la Lokolova lenye ukubwa wa ekari 2,470 lililopo kata ya Makuyuni Wilaya ya Moshi vijijini umeibuka upya huku wananchi jamii ya wafugaji wakimbebesha lawama mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amosi hatua yake ya kutangaza kurejeshwa ardhi hiyo kwa chama cha Ushirika wa Wakulima, wafugaji na uzalishaji mali cha Lokolova. Mgogoro huo wa zaidi …
Wahadzabe, Wabarabaig na Wmasai Waiomba Serikali Kuwatambua…!
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Mh. Idd Ramadhan Mapuri (katikati) akizindua taarifa ya Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kuhusu utafiti wa Hali ya Haki za watu wenye kuishi maisha asilia Tanzania. kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Mary Massay na (kulia) ni mmoja wa …