Wadau wa zao la chai nchini wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza (mwenye hijabu ) aliyemwakilisha waziri wa wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa wadau wa chai nchini leo katika ukumbi wa TRIT Ngwazi Mufindi, kulia kwake ni mwenyekiti wa bodi ya chai nchini Spika (mstaafu ) Anne Makinda, …
Waziri Lukuvi Agawa Hati za Kimila Vijiji vya Hembeti, Dihombo
Wakazi wa vijiji vya Hembeti na Dihombo wakisubiria kupata Hati miliki zao Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi akitoa hotuba yake wakati wa alipozindua utoaji wa Hatimiliki za kimila wilayani Mvomero. Mratibu wa Elimu kata ya Hembeti, Charles Kikully akisoma Risala ya vijiji vya Hembeti na Dihombo kwa Waziri Lukuvi. Mkuu wa Wilaya …
Wanawake Washirikishwe Ardhi ya Familia Inapouzwa
MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Happyness Seneda amewataka watendaji na viongozi wa vijiji vya wilaya hiyo kuakikisha wanatoa vipaumbele kwa wanawake katika umiliki wa ardhi na pia familia kuwashirikisha wanawake kutoa uamuzi pale wanapotaka kuuza ardhi mali ya familia. Bi. Seneda alitoa kauli hiyo alipokuwa akifunga semina kwa baadhi ya madiwani, watendaji na wenyeviti wa …
RC Atoa Siku 14 Kuondolewa Wavamizi Maeneo ya Mlima Mbeya
Na Emanuel Madafa, Mbeya MKUU wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla ametoa siku 14 kwa Halmashauri zote za Mkoa wa Mbeya kuhakikisha inawaondoa watu wote waliovamia maeneo ya hifadhi za misitu pamoja na hifadhi ya misitu ya Mlima Mbeya. Aidha amesema agizo hilo pia liendane na suala la kudhibiti shughuli zote za kibinadamu kando kando ya mita 60 kwa kufuata sheria ya mita 60. Mkuu …
Halmashauri ya Monduli na Kashfa ya Ugawaji Ardhi, Wananchi Waja Juu
Akinamama wa kijiji cha Lendikinya wakiwa wamekaa kwa huzuni katika mkutano wa hadhara MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Loota Sanare akiongea katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Lendikiny. Mwana kijiji Amina Longitoti akiwa anatoa kero yake katika mkutano huo. Habari/Picha na Woinde Shizza, Arusha BADHI ya wananchi wa …
Namaingo na Uzinduzi Mradi Mkubwa Ufugaji Kuku Kijiji cha Miteja Kilwa
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Abuu Mjaka akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Namaingo Business Agency Limited, Bi. Ubwa Ibrahim baada ya kuzindua Mradi wa Ufugaji Kuku kwa wanachama 3000 wa kampuni hiyo kutoka mikoa ya Lindi Mtwara na Ruvuma katika hafla iliyofanyika Kijiji cha Miteja, wilayani humo juzi. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya …