Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com Handeni WANAFUNZI takriban 50 wa Shule ya Sekondari Kidereko wilayani Handeni hawana sehemu ya kujihifadhi baada ya bweni lao kuteketea kwa moto pamoja na baadhi ya vifaa vyao vya shule. Bweni hilo liliteketea kwa moto hivi karibuni majira ya asubuhi baada ya kutokea kwa hitilafu ya umeme kwenye bweni hilo muda ambao wanafunzi wote walikuwa wakiendelea …
Upatikanaji huduma ya maji Kisarawe tatizo
Na Joachim Mushi, Kisarawe MGOGORO wa ukosefu wa maji ya matumizi ya nyumbani na shughuli nyingine bado ni kero kubwa kwa wakazi wa Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani hasa katika Kata ya Maneromango iliyopo nje ya Mji wa Kisarawe. Uchunguzi uliofanywa na dev.kisakuzi.com hivi karibuni maeneo ya Kata ya Maneromango imebaini bado kuna shida kubwa ya maji kwa wakazi wa …
Omba Mungu usiibiwe Maneromango, ni mzigo mara dufu
Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com-Kisarawe UKIWA wewe ni mkazi wa Kata ya Maneromango, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani huenda siku zote utakuwa ukiomba isitokee umeibiwa au kufanyiwa kitendo chochote cha uhalifu kwani utagharamika na kama hauna uwezo kifedha unaweza kumsame mwizi wako bila kupenda. Hii ni kutokana na utaratibu uliopo eneo hilo ambapo mtu anayeibiwa hulazimika kumgharamia mtuhumiwa pamoja na mgambo …
Darasa la tano na sita wasomea darasa moja Kisarawe
Na Joachim Mushi, Thehabari-Kisarawe WAKATI Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini ikijipanga kuanza kufundisha kwa kutumia teknolojia ya kompyuta katika shule mbalimbali, wanafunzi wa darasa la tano na sita wa Shule ya Msingi Mengwa bado wanatumia darasa moja kwa wakati mmoja. Hali hiyo imejulikana juzi baada ya mwandishi wa habari hizi kutembelea shule hiyo, iliyopo Kata ya Maneromango, …
Wanafunzi 159 wa Shule ya Sekondari Maneromango wakimbia mitihani
Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com-Kisarawe WANAFUNZI 159 wa Shule ya Sekondari Maneromango wametoroka kufanya mitihani ya majaribio ya robo muhula iliyoanza juzi katika shule hiyo. Wanafunzi hao ambao ni vidato mbalimbali kuanzia cha kwanza hadi cha nne, ni kati ya wanafunzi 383 wa Shule ya Sekondari Maneromango waliotakiwa kuanzia kufanya mitihani yao Machi 27, 2012 shuleni hapo. Akizungumza katika mahojiano na …
Kikundi cha Maduma na mafanikio ya miche
Na Mwandishi Wetu, Muheza UNAPO zungumzia kati ya vikundi vilivyofanikiwa katika ufanyaji wa shughuli zake wilayani Muheza ni vigumu kutokitaja kikundi cha miche ya machungwa cha Maduma. Kikundi hiki ambacho kipo kijijini Maduma ni wazalishaji na wauzaji wa miche wenye mafanikio makubwa. Kikundi kilianzishwa mwaka 2003 kikiwa na wanachama watano yaani wanaume wawili na wanawake watatu. Kwa sasa kikundi kina …