Na Joachim Mushi, Handeni BAADHI ya wanaume wamelazimika kuzikimbia familia zao kwa kisingizio cha ugumu wa maisha. Wanaume hao wamezitelekeza familia hizo na kuziacha na wake zao na wao kutokomea maeneo mbalimbali kusaka maisha. Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni mjini hapa na mwandishi wa habari hizi kwa kushirikiana na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) umebaini kuwepo na familia nyingi ambazo zimetelekezwa …
Uhaba wa madarasa kero kwa wanafunzi na walimu Namtumbo
Na Vicent Mnyanyika, HakiElimu-Namtumbo UHABA wa vyumba vya madarasa ni moja ya changamoto kubwa inayoikabili sekta ya elimu Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma hali inayosababisha kushuka kwa kiwango cha elimu wilayani humo. Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi hivi karibuni wilayani hapa baadhi ya walimu wanaofundisha katika shule za msingi wilayani Namtumbo wamesema wanatamani kuacha kazi au kuhama kutoka na …
Village leaders in Iringa must stop GBV
THE government has to take immediate action to educate and sensitize village leaders in Iringa region on usage of legal mechanism in solving conflicts rather than allowing them to take the law into their own hands which is putting the lives of women and men at risk. Urgent action is required following revelation of a survey conducted in Kidabaga village, …
Viongozi Iringa vijijini wamulikwe kwa kuhatarisha amani
Na Mwandishi Wetu SERIKALI inapaswa kuchukua hatua za haraka kuelekeza viongozi wa vijiji nchini taratibu za kushughulikia migogoro ya kisheria ili kuepusha viongozi kujichukulia hatua zinazohatarisha maisha ya wanawake ikiwa ni pamoja na kupigwa kikatili. Serikali inapaswa kuchukua hatua kufuatia utafiti uliobaini kuwa viongozi wa kijiji cha Kidabaga, kata ya Dabaga wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wamekuwa wakiwachapa viboko kikatili …
Wanafamilia waandamana kuipinga Serikali ya Kijiji
Na Mwandishi Wetu, Arumeru WANAFAMILIA kutoka katika familia mbili tofauti kutoka Kata ya Engorora wilayani hapa jana waliandamana hadi ofisi za kijiji chao wakidai fedha za malipo yanayotokana na uchimbaji wa moramu, kwenye eneo ambalo wanadai ni mali yao. Wakizungumza jana na waandishi wa habari eneo hilo, mmoja wa wanafamilia, Wilbert Levosi alidai wao ndiyo wamiliki halali wa mlima huo …
Wananchi Same watembea kilomita 50 kusaka huduma za afya
Na Mwandishi Wetu-dev.kisakuzi.com, Same WANANCHI wa Kata ya Mamba Myamba Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, hulazimika kutembea umbali wa takribani kilometa 50 kutafuta huduma ya afya iliyopo Same Mjini kutokana na eneo lao kutokuwa na huduma hiyo. Wakizungumza na mtandao huu baadhi yao wamesema ukosefu wa kituo cha afya imekuwa ni kero kubwa kwao kwani wananchi wengi hasa akinamama wajawazito …