Watoto Watafunwa na Funza Korogwe Vijijini

Na Mwandishi wa Thehabari Korogwe Vijijini BAADHI ya watoto wanaokosa uangalizi wa karibu kutoka kwa wazazi au walezi wao wamekubwa na ugonjwa wa kushambuliwa na funza kwa kiasi kikubwa miguuni na mikononi hali iliyosababisha kuharibika kwa miguu yao na mikono kiasi kikubwa. Idadi kubwa ya watoto walioathiriwa na wadudu hao wameonekana katika eneo la Kibaoni Korogwe vijijini, ambapo baadhi walipohojiwa …

Wajumbea wa Bodi ya Plan International Watembelea Miradi ya Shirika Hilo Kisarawe

Wakazi wa Wilaya ya Kisarawe wakicheza ngoma ya kiutamaduni pamoja na mmoja wa wajumbe wa bodi ya Plan International waliotembelea moja ya miradi inayofadhiliwa na shirika hilo wilayani humo. Mlezi wa Kituo cha Mlegele Wilayani Kisarawe na Mwenyekiti wa Majengo yote ya Kulelea watoto hao Bw. Shabani Daruweshi akisoma risala kwa ujumbe wa Bodi ya Plan International (haupo pichani) ambapo …

Jukwaa la Katiba Lamwaga Katiba Mkutano wa Jinsia Morogoro

Na Mwandishi wa dev.kisakuzi.com Morogoro TAASISI ya Jukwaa la Katiba Tanzania imelazimika kugawa nakala ya Katiba ya Tanzania kwa washiriki wa Mkutano wa Jinsia Ngazi ya Wilaya uliofanyika nje kidogo ya Mkoa wa Morogoro kabla ya kuanza kuelezea umuhimu wa Tanzania kuingia katika mchakato wa kuundwa kwa Katiba Mpya unaoendelea hivi sasa. Tukio hilo lilitokea juzi Kijijini Mkambarani ulipokuwa ukifanyika …

Usu Mallya Awaasa Wananchi Kushiriki Kikamilifu Mchakato wa Katiba Mpya

Na Mwandishi wa dev.kisakuzi.com Morogoro MKURUGENZI Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Usu Mallya amewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika uundwaji wa Katiba mpya ili itakapo kamilika sera na sheria za nchi ziendane na wananchi wake, jambo ambalo litasaidia kutatua migogoro anuai. Mkurugenzi huyo aliyasema hayo jana eneo la Mkambarani mje kidogo ya Mji wa Morogoro ambapo linafanyika tamasha la …

Nani Kasema Mwanaume Habebi Mtoto Mgongoni…! Haki Sawa Kwa Wote

Picha hii imepigwa jana na mmoja wa wadau wa mtandao huu eneo la Uru-Mawella, Wilaya ya Moshi Vijijini Mkoa wa Kilimanjaro. Wazazi hawa wawili walikutwa wakisaidiana majukumu ya malezi, mwanaume akiwa amembeba mtoto huku akiongozana na mzazi mwenzake, haikujulikana mara moja walikuwa wakitoka wapi.