Na Mwandishi Maalumu, Katavi WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameahidi kuchangia sh. milioni 20 za kuanzia ujenzi wa kituo cha afya katika kata ya Mwamapuli ili kiweze kusaidia kata za jirani za Mbede na Majimoto. Alitoa ahadi hiyo Desemba 20, 2012 wakati akizungumza na wakazi wa kata ya Mwamapuli kwenye mradi wa mashine ya kukoboa mpunga akiwa katika siku ya nane …
Waziri Pinda Kutoa Mizinga 25 ya Nyuki wa Kisasa
Na Mwandishi Maalumu, Mlele WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameahidi kutoa mizinga ya nyuki 25 ya kisasa na ya kibiashara kwa ajili ya kikundi cha sanaa cha kata ya Mamba wilayani Mlele mkoani Katavi ili waweze kuzalisha mali na kujiendesha wenyewe. Alitoa ahadi hiyo Desemba 19, 2012 wakati akizungumza na wakazi wa kata ya Mamba kwenye uwanja wa mpira akiwa katika …
Waziri Pinda Atangaza Amri 10 za Kuendeleza Kilimo
Na Mwandishi Maalumu, Katavi WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amefanya ziara ya ghafla kwa kukagua mashamba ya viongozi wa mkoa wa Katavi kwa kuanza na shamba la Mkuu wa Mkoa huo, Dk. Rajab Rutengwe. Pia alikagua shamba la na Katibu Tawala wa Mkoa, Mhandisi Emmanuel Kalobelo. Mashamba yote mawili yako katika kijiji cha Songambele eneo la tankifupi, kata ya Nsimbo, wilayani …
Wakulima wa Chai Korogwe Walilia Kiwanda cha Chai cha Wakulima
Na Joachim Mushi, Korogwe WAKULIMA wa zao la chai wilayani Korogwe Mkoa wa Tanga wameiomba Serikali kukubali kutoa eneo la ardhi ili wajenge kiwanda cha wakulima wa zao hilo kitakacho wasaidia wakulima kukuza thanani ya zao lao. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, hivi karibuni kijijini Bungu, Katibu wa Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Chai, Moses Sangoti alisema tayari …
Utoro Watishia Sekondari za Kata Korogwe
Na Mwandishi wa Thehabari Korogwe Vijijini UTORO wa kudumu kwa idadi kubwa ya wanafunzi wa Sekondari hasa zile za Kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe unatishia maendeleo ya elimu eneo hilo. Uchunguzi uliofanywa na mwandishi wa habari hizi juzi kwa baadhi ya sekondari umebaini hali hiyo sasa inatisha kwani inaongezeka kwa kasi karibuni katika kila shule za sekondari eneo …
Walimu Sekondari Wacheza ‘Table Tennis’ Ofisini Korogwe
Na Mwandishi wa dev.kisakuzi.com Korogwe Vijijini WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Bungu iliyopo Korogwe Vijijini wamelalamikia kitendo cha baadhi ya walimu wao kucheza mchezo wa table tennis ofisini (staff room) tendo ambalo limekuwa likifanyika hata wakati wa kazi/vipindi vya masomo. Malalamiko hayo yametolewa juzi ambapo mwandishi wa dev.kisakuzi.com alitembelea shule hiyo kuangalia changamoto mbalimbali za elimu eneo la Korogwe Vijijini. …