Mbunge Awaomba Wapiga Kura Wake Kumvumilia Juu ya Ahadi za Maji

Na Joachim Mushi, Aliyekuwa Kishapu MBUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Seleiman Nchambi amewaomba wapiga kura wake kuwa wavumilivu juu ya ahadi ya huduma za maji safi na salama alizozitoa wakati akigombea jimbo hilo katika uchaguzi mkuu 2010. Nchambi ametoa kauli hiyo hivi karibuni akizungumza na mwandishi wa habari hizi kutoa ufafanuzi juu ya malalamiko …

TGNP yakabidhi Vifaa vya Mawasiliano Vituo vya Taarifa na Maarifa

MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP), umepanua wigo wa mawasiliano kwa makundi ya pembezoni hasa wanwake kwa kuwapatia vifaa vya teknolojia ya habari na Mawasiano (TEHAMA) kwaajili ya kupashana habari katika Kituo cha taarifa na maarifa Mkambarani Morogoro Vijijini. Akikabidhi vifaa hivyo vyenye dhamani ya zaidi ya shilingi Milioni 1.9, Afisa katika Kitengo cha Habari na Mawasiliano TGNP, Deogratius Temba, amesema …

Rombo Waomba Elimu na Wataalam wa Homa ya Nguruwe

Na Mwandishi Wetu, Rombo SIKU chache baada ya kuripotiwa kuwepo kwa ugonjwa wa homa ya nguruwe wilayani Rombo, baadhi ya wakazi wa wilaya hiyo wameiomba Serikali kuhakikisha inatoa elimu zaidi juu ya maambukizi ya ugonjwa huo ili kudhibiti maambukizi zaidi. Kauli hiyo imetolewa mjini hapa kwa nyakati tofauti na wananchi huku wakisisitiza kuwa ipo haja kwa Serikali kupitia wataalamu wake …

TGNP Yaendesha Warsha Mbeya Juu ya Namna ya Kuanzisha na Kutumia Vituo vya Taaifa na Maarifa

Na Pendo Omary, Mbeya Vijijini MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) umeendesha warsha ya siku mbili kuhusu namna ya kuanzisha na kutumia vituo vya taarifa na maarifa katika kata ya Mshewe, wilaya Mbeya Vijijini yaliyomalizika jana. Mafunzo hayo  kwa vikundi vya wanawake yalikuwa ni mwendelezo wa mafunzo ya  uraghbishi yaliyofanyika hivi karibuni ikiwa ni sehemu ya kuendeleza harakati za ujenzi wa …

Shule za Kata Zajiendesha kwa Fedha za Walimu Wakuu

Na dev.kisakuzi.com, Rombo CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), Wilaya ya Rombo kimesema shule nyingi za Sekondari za Kata wilaya hiyo na maeneo mengine nchini zinajiendesha kwa kutegemea fedha za mifukoni kwa walimu wakuu wanaoziongoza shule hizo.  Kauli hiyo imetolewa jana na Katibu wa CWT Wilaya ya Rombo, Erasmo Mwingira alipokuwa akifanya mahojiano na mwandishi wa habari hizi. Hata hivyo uchunguzi uliofanywa na gazeti …

Wilaya ya Rombo Kutumia Nyuki Kupambana na Tembo Wavamizi

Na dev.kisakuzi.com, Rombo HALMASHAURI ya Wilaya ya Rombo imeanza mipango ya kutumia ufugaji wa nyuki kukabiliana na tembo waharibifu ambao mara kadhaa huvamia baadhi ya makazi ya wananchi maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo na kufanya uharibifu wa mazao pamoja na kuua au kujeruhi wakazi. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi hivi karibuni wilayani hapa, Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Judethadeus …