Wamasai Ngorongoro Waunda Baraza la Wanawake

Kutokana na kukithiri kwa mfumo dume unaoambatana na ukandamizaji wa mwanamke na kusababisha ongezeko la watoto yatima na wajane katika jamii ya wafuagaji wa kimasai, wanawake wa jamii  hiyo wanaoishi ndani ya eneo la mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro wameunda baraza  la wanawake  litakalosimamia masuala mbalimbali kwa mtoto wa kike husani elimu,afya,na haki ya mwanamke. Wanawake hao wa jamii ya kimasai wanabainisha kuwa hamasa ndogo ya …

Mkuranga na Ukombozi Kiuchumi Toka MKURABITA

*‘Hatimiliki za ardhi ni pasipoti kuelekea uchumi rasmi’         *Benki zatakiwa kuzitambua kwa mikopo   “Tumieni hati kutafuta mikopo yenye thamani kubwa ili iwaletee maendeleo sio kutumia hati yenye thamani kubwa kama hii, kupata mkopo wa kufuga kuku kumi. Kama ni ufugaji, fanyeni ufugaji wa kisasa wenye tija.”   Anaasa Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Silla katika hotuba yake kabla …

Serikali Yatatua Kero ya Maji Kijijini Ngoyoni Rombo

Yohane Gervas, Rombo WAKAZI wa Kijiji cha Ngoyoni Kata ya Ngoyoni Tarafa ya Mengwe, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wameipongeza Serikali wilayani humo kwa kuwaondolea kero ya maji iliyodumu kwa muda mrefu iliyokuwa ikiwakabili. Neema hiyo imekuja baada ya Mkuu wa Wilaya hiyo kufungua rasmi kisima kikubwa cha maji katika Kijiji cha Ngoyoni Kata ya Ngoyoni Tarafa ya Mengwe. Diwani …

Maisha ya ‘Geto’ Changamoto kwa Wanafunzi Sekondari za Kata Tanga

UJENZI wa Sekondari za Kata katika mikoa mbalimbali umesogeza huduma za elimu kwa baadhi ya maeneo. Ipo mikoa ambayo awali ilikuwa na shule chache za sekondari hali ambayo ilifanya wanafunzi wachache kupata fursa ya kujiunga na sekondari. Kwa sasa hali si hivyo tena, mikoa mingi imeongeza idadi ya shule hizo licha ya changamoto kibao inazozikabili shule hizi. Zipo baadhi ya …

Wanafunzi 500 Waliochanguliwa Kidato cha Kwanza Waingia Mitini..!

Yohane Gervas, Rombo ZAIDI ya wanafunzi 500 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2013 ambao wangetakiwa kuanza kidato cha kwanza mwaka huu (2014) hadi sasa bado hawajaripoti katika shule walizopangiwa. Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Elinasi Pallengyo amesema kuwa kati ya wanafunzi 558 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza hadi sasa bado hawajaripoti shuleni kati yao ni wasichana 265 na wavulana …

Serikali Makete Yatoa Bati kwa Waathirika wa Maafa ya Kimbunga

Na Edwin Moshi, Makete HALMASHAURI ya Wilaya ya Makete kwa kushirikiana na mfuko wa jimbo, umekabidhi msaada wa mabatia 180 kwa waathirika wa maafa ya kikumba kilichoezua nyumba 10 katika Kijiji cha Ndulamo wilayani Makete ikiwa ni ahadi ya Serikali kwa waathirika hao. Akizungumza na waathirika wa tukio hilo wakati wa kukabidhi bati hizo zenye thamani ya sh. milioni 2.5, …