Asasi Zinazopata Ruzuku LSF Zamaliza Ziara ya Siku Tatu ya Tathmini

MAOFISA Miradi pamoja na Maofisa Wakaguzi na Tathmini Miradi toka mashirika matano ya Kiraia yanayopata ruzuku kutoka Mfuko wa Msaada wa Kisheria (LSF) Tanzania, yamemaliza ziara ya kimafunzo ya siku tatu katika Shirika la Kutetea Haki za Wanawake na wasichana Tanzania, KIVULINI la jijini Mwanza, ziara iliyolenga kujifunza na kuboresha ufanyaji kazi wa mashirika hayo kupitia Miradi mbalimbali inayoendeshwa na …

Wajawazito walalamikia ‘Rushwa’ Kituo cha Afya Simambwe

Na Joachim Mushi, Mbeya Vijijini BAADHI ya akinamama na wanakijiji wa baadhi ya vijiji vya Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wamewalalamikia wauguzi na wahudumu wa afya katika Kituo cha Afya Simambwe kwa kile baadhi yao kuwaomba kitu kidogo (rushwa) hasa kwa wajawazito wanapofika katika kituo hicho kupata huduma. Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya wanawake kutoka vijiji vinavyohudumiwa …

Mzee Auwawa Kikatili Wilayani Rombo

MKAZI wa Kijiji cha Mahida Nguduni, Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Dominick Kavishe (65) mkulima ameuwa kikatili kwa kuchomwa na vitu vyenye ncha kali katika sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiofahamika. Akizungumzia tukio hilo kwa njia ya simu na mtandao huu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuongeza kuwa kwa …

Wanavijiji Mbeya Walaumiana Udhibiti wa Mimba kwa Wanafunzi

Na Joachim Mushi, Mbeya Vijijini WANAVIJIJI wa vijiji vya Shibolya, Usoha Njiapanda, Simambwe, Ikhoho na Ilembo Usafwa vyote vya wilayani Mbeya Vijijini wametupiana lawama kuhusiana na baadhi ya wazazi na viongozi wa vijiji kuwa wakifumbia macho watu wanaotuhumiwa kuwatia mimba wanafunzi wa msingi na sekondari na kuwakatisha masomo. Kauli hiyo imetolewa juzi na baadhi ya wanakijiji walipokuwa wakifanya mazungumzo na …

Ulevi Waanza Kupungua Wilaya ya Rombo

Yohane Gervas, Rombo KASI ya ulevi katika Wilaya ya Rombo imeelezwa kuwa imeanza kupungua baada ya serikali pamoja na wadau wengine wa maendeleo wilayani humo kutoa elimu juu ya adhari za ulevi kwa wanakijiji. Badhi ya wakazi wa Wilaya ya Rombo wakizungumza walisema kuwa wanaipongeza Serikali kwa kudhibiti ulevi saa za kazi kwani kabla ya kuwepo kwa sheria hiyo inayokataza …