Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akinywa maji kwa majani ya miti baada ya kuzindua mradi wa maji na kukabidhi vifaa vya kuvuta maji vyenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 14.5 kwa wakazi wa kitongoji cha Dodoma kijiji cha Amani Ludewa Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akisoma maandishi mara baada ya kuzindua mradi wa maji kitongoji cha Dodoma …
Mbunge Filikunjombe Apeleka Maji Kijiji cha Kitewele Ludewa
WANANCHI wa Kijiji cha Kitewele Kata ya Mawengi Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, wanatarajia kuanza kunufaika na huduma ya maji safi na salama ya bomba baada ya kukamilika kwa ununuzi wa vifaa ikiwemo mabomba ya kutandika ardhini ambayo yamegharimu kiasi cha zaidi ya milioni 26 msaada uliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe. Akizungumza leo na wananchi hao …
Vijiji 31 Iringa Kufungwa Umeme – Naibu Waziri
Na Fredy Mgunda, Iringa VIJIJI 31 vilivyopo Mufundi Kaskazini mkoani Iringa vinatarajia kupokea umeme na tayari baadhi ya vijiji hivyo vipo katika hatua ya mwisho ya kufunga vikombe kwa ajili ya kuanza kuvuta nyaya za umeme. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Babtist …
16 Wakamatwa Kilimanjaro Vurugu za Wamasai na Mwekezaji
WATU 16, wakiwemo wanaume 11 na wanawake 5, wamekatwa na Jeshi la Polisi kufuatia vurugu za kugombea malisho katika Kijiji cha Miti Mirefu, wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, baina ya jamii ya kifugaji ya Ki-maasai na Mwekezaji wa shamba la ndarakwai Peter Jones, ambapo magari tisa yaliteketezwa kwa moto huku nyumba zaidi ya 16 zikichomwa moto. Akidhibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa …