Klabu ya West Ham nchini Uingereza imemsajili mchezaji wa Algeria Sofiane Feghouli kwa kandarasi ya miaka mitatu. Winga huyo anajiunga na kilabu hiyo katika uhamisho wa bila malipo na amemefurahi kuweka mkataba na West Ham na kocha Slaven Bilic Amedai kuwa historia ya klabu hiyo ni muhimu kwa uamuzi wake na Feghouli aliuambia mtandao wa West Ham United.
Panone Fc, Alliance Uso Kwa Uso FDL
TIMU za Abajalo, Ashanti United za Dar es Salaam zimepangwa pamoja na African Sports ya Tanga katika Kundi Ligi Daraja la kwanza Tanzania Bara. Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetangaza makundi matatu ya timu zitakazoshiriki Ligi Daraja la Kwanza ya StarTimes msimu wa 2016/2017. Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Agosti, mwaka huu mara baada ya kukamilisha …
Greg Dyke Awapiga Mkwara UEFA
Mwenyekiti wa chama cha mpira cha Uingereza, Greg Dyke amewaandikia barua chama cha shirikisho la soka barani Ulaya,UEFA kutoa maelezo ya tija kuhusu mpangilio wa ulinzi wakati wa michuano ya soka ya Euro 2016. Leo Urusi itacheza katika mji wa Lile ambapo mashabiki wa Uingereza pia watakusanyika hapo kwa kuwa mechi yao itakuwa kesho. Kulikuwa na usumbufu mkubwa katikati hapo …
Katika Copa America Brazil wametupwa nje ya mashindano hayo baada ya kufungwa bao 1-0. Bao la utata dhidi ya Peru kwenye Mechi yao ya mwisho ya Kundi B huku timu za Peru na Ecuador zikifanikiwa kutinga hatua ya Robo fainali. Hii ni mara ya kwanza tangu 1987 kwa Brazil kushindwa kuvuka hatua ya makundi ya mashindano haya. Bao la Peru …
Switzerland Yapata Ushindi Mwembamba Euro
Switzerland imejipatia ushindi wake wa pili katika michuano ya bara Ulaya baada ya kuilaza Albania 1-0. Mapema Albania ilionekana kubabaika pale mlinda lango wao Etrit Berisha alipofanya makosa kufuatia Krosi iliopigwa na Xherdan Shaqiri na hivyobasi kuwa rahisi kwa Schar kufunga kwa kichwa. Lakini baadaye Armando Sadiku alikosa nafasi ya wazi kabla ya nahodha wa kikosi hicho Lorik Cana kupewa …
Nigeria Wapata Pigo Lingine Kwenye Soka
Shirikisho la soka la Nigeria linasema kuwa mkurugenzi wa kiufundi ambaye pia alikuwa kocha wa zamani wa timu ya taifa Amodu Shuaibu, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 58. Bwana Shuaibu, kocha mara nne wa timu ya Super Eagles alianza kuumwa na kifua jana usiku na baadaye akaaga duniani akiwa usingizini. Nigeria ingali inaomboleza kifo cha mwanasoka maarufu, na …