Na Asha Kigundula Arusha TIMU ya soka ya Mkoa wa Ilala leo itakuwa na kibarua kigumu itakapovaana na timu ya soka ya Mkoa wa Mwanza katika hatua ya Nusu fainali ya michuno ya Kili Taifa Cup inayofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani hapa. Kindumbwendumbwe hicho kitaanza saa 10.00 Alasiri ambapo mshindi wa mchezo huo atamsumbili mshindi wa michezo …
Wamisri kuchezesha Simba v WYDAD
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeteua waamuzi kutoka Misri kuchezesha pambano la mkondo mmoja kati ya Simba ya Tanzania na Wydad Casablanca ya Morocco litakalofanyika Mei 28 mwaka huu Uwanja wa Petrosport jijini Cairo, Misri. Mechi hiyo ya kutafuta timu ya kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika itaanza saa 12 kamili jioni kwa saa za …
Mohammed Dewji ahaidi zawadi nono Simba
Na Mwandishi wetu Mbunge Wa Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji Ameitakia Kila La Kheri Timu Ya Simba Katika Mchezo Wake Wa Kuwania Kufuzu Kwa Hatua Ya Makundi Katika Michuano Ya Klabu Bingwa Afrika Dhidi Ya Wydad Casablanca Ya Morocco. Mh. Mo Amewaambia Simba Kuwa Yuko Pamoja Nao Katika Dua Akiwaombea Mafanikio Ili Waweze Kuvuka Kizingiti Kilichopo Mbele Yao Na Kuwapa …
Barmingham City ya Uingereza kuja Tanzania
Kocha Msaidizi wa Timu ya Barmingham City, kutoka nchini Uingereza inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini humo, Andy Watson (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini leo kuhusu maandalizi ya ziara ya ujio wa timu hiyo nchini Tanzania mwezi Julai. Kocha huyo amefika nchini kwa ajili ya maandalizi na kukagua mazingira ya viwanja, Hoteli pamoja na miundombinu, ambavyo wameridhika navyo.Timu hiyo …
Mashindano ya KCB East African Tour 2011 yazinduliwa
Na Janeth Mushi Arusha MASHINDANO ya Benki ya Biashara Kenya (KCB) East Africa Golf Tour 2011 yanayoanza leo mjini hapa katika viwanja vya Arusha Gymkana Club, mshindi wa mashindano hayo anatarajia kujinyakulia kitita cha sh. 3,630,000 fedha za Kitanzania. Hayo yamebainishwa leo na Mkuu wa Idara ya Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB, Christina Manyenye alipokuwa akizungumza kwenye uzinduzi …
JAMBO LEO MABINGWA NSSF CUP
TIMU ya soka ya Jambo Leo ‘Wagumu Star’ inayomilikiwa na kampuni ya Jambo Concepts Ltd, imetwaa Ubingwa wa Kombe la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), baada ya kuifunga timu ya NSSF katika mchezo wa fainali uliofanyika kwenye uwanja wa Sigara Chang’ombe Dar es Salaam. Katika mchezo huo mkali uliofanyika jana, timu ya NSSF ndio walio kuwa wa …