COPA COCA COLA DRAW

Dear Colleagues, Be informed that there will be a Copa Coca Cola draw on 31st day of May 2011 at 1130hrs at TFF Offices. Press conference will follow at 1200hrs. Your presence will be highly recognized. Best regards, Boniface Wambura Media Officer Tanzania Football Federation +255 71 3210242 +255 76 7310242

Barcelona 3 Man’Utd 1, Messi ang’ara

WAKIONGOZWA na mchezaji ambaye ni vigumu kumkaba, Lionel Messi Timu ya Barcelona jana waliifanya vibaya Timu ya Manchester United baada ya kuichapa bao 3-1 katika fainali ya Klabu Bingwa Barani Ulaya. Wakicheza kwa kujiamini na kulishambulia watakavyo lango la Manchester, wachezaji wa Barcelona walimfanya mchezo wa jana kuonekana wamewazidi wapinzani wao kila idara hivyo mchezo kuonekana ukichezwa upande mmoja. Pedro …

Je, wajua Vuvuzela lina madhara makubwa?

      VUVUZELA chombo kilichotumika kwa kushangilia hasa na mashabiki wa soka kwenye Kombe la Dunia la soka mwaka 2010, si tu kinachafua mazingira kwa kelele, wataalamu wanadai chombo hicho kinaweza kusababisha maradhi kiafya mpulizaji. Inaeleza kwamba upulizaji kidogo tu wa Vuvuzela mfanya mpulizaji atokwe na mate mengi sawa na yanayotoka wakati mtu akipiga chafya, tena yenye uwezo wa …

Simba yachwapwa 3-0 na WYDAD

TIMU ya Simba ya Msimbazi jijini Dar es Salaam imeshindwa kuwapa raha mashabiki wake baada na Watanzania kwa ujumla baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-0 dhidi ya WYDAD ya Casablanca nchini Morocco. WYDAD ilianza kuharibu furaha ya mashabiki wa simba katika dakika ya 88 ilipoandika bao la kwanza na 89 bao la pili na kukandamiza bao la tatu tena …

Bin Hammam, Warner wachunguzwa kwa rushwa

SHIRIKISHO la Soka Ulimwenguni (FIFA) imeanza uchunguzi wa tuhuma za rushwa zinazozingira maafisa wake, akiwemo makamu wa rais Jack Warner na mgombea wa kiti cha urais wa Fifa Mohamed bin Hammam. Tuhuma hizo zilitolewa na mjumbe wa kamati kuu Chuck Blazer. Blazer amedai taratibu za maadili ya Fifa zilikiukwa katika mkutano unaoonekana uliandaliwa na Bin Hammam na Warner. Maafisa wengine …

Simba wakatiliwa kuwatumia Samata na Ochan

Taarifa hii ni kwa mujibu wa Boniface Wambura, Ofisa Habari wa TFF Wachezaji Mbwana Samata na Patrick Ochan ambao Simba ilitaka kuwatumia kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco hawana uhalali wa kuchezea timu hiyo. Simba kupitia TFF ilitaka kufahamu kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kama inaweza kuwatumia wachezaji hao kwa …