Mgeni rasmi wa mchezo huo, Joseph Kulangwa ambaye pia ni Mhariri Mkuu wa Habari Leo (kulia) akisalimiana na mmoja wa wachezaji wa timu ya Serengeti Breweries, Teddy Mapunda kabla ya kuanza kwa pambano hilo, lililofanyika CCP Moshi. Kilimanjaro, WAFANYAKAZI wa Serengeti Breweries Ltd (SBL) mjini Moshi jana walikata ngebe za timu ya Jukwaa la Wahariri nchini baada ya kuwagagadua bao …
Taarifa mbalimbali muhimu kutoka TFF leo
Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura’ STARS KUCHEZA PALESTINA, JORDAN Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (Taifa Stars) itakuwa na ziara ya mechi mbili nje ya nchi. Stars itacheza mechi ya kwanza Agosti 10 mwaka huu mjini Ramallah, Palestina dhidi ya timu ya Taifa ya nchi hiyo. Stars ambayo inatarajia kuondoka Agosti 7 mwaka huu kwa ajili …
Twiga Stars yapangwa kundi A all Africa games
Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura TIMU ya Taifa ya wanawake ya mpira wa miguu (Twiga Stars) imepangwa kundi B katika Michezo ya Afrika (All Africa Games). Michezo hiyo ya Kumi itafanyika kuanzia Septemba 3-18 mwaka huu jijini Maputo, Msumbiji. Upangaji makundi kwa ajili ya michezo hiyo kwa upande wa wanawake na wanaume ulifanywa jana na Katibu Mkuu wa Shirikisho …
Wachezaji Eritrea wazamia Tanzania, ni baada ya mechi za KAGAME
WACHEZAJI 13 wa timu ya mpira wa miguu ya Eritrea ya Red Sea mpaka sasa hawajarejea nchini kwao baada ya michuano ya kanda Tanzania, maafisa wamesema. Baada ya Klabu hiyo ya Red Sea kupoteza ushindi wake katika michuano ya CECAFA ya nusu fainali siku ya Jumamosi, ni nusu tu ya wachezaji wote waliingia kwenye ndege kurejea Eritrea. Inaripotiwa kuwa hii …
MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME 2011
Michuano ya kuwania Kombe la Kagame iliyofanyika nchini kuanzia Juni 25 hadi Julai 10 mwaka huu imekwenda vizuri huku timu za Tanzania, Yanga na Simba zikifanya vizuri kwa kufika hatua ya fainali. TFF tunazipongeza timu hizo kwa uwakilishi mzuri ziliotupa, hasa Yanga kwa kuibuka mabingwa. Shukrani za pekee tunatoa kwa mashabiki waliojitokeza kushuhudia mechi za michuano hiyo zilizofanyika katika Uwanja …
Yanga, Simba uso kwa uso fainali ya Kagame leo
Na Joachim Mushi TIMU ya Yanga ya Dar es Salaam ambao pia ni mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara wanatarajia kupanda uwanjani kupepetana na watani wao wa jadi Simba ya Dar es Salaam. Mchezo huo wa Fainali ya Kombe la Kagame unatarajia kuwa mgumu kwa pande zote kutokana na uhasimu wa soka uliopo kati ya timu zote mbili, ambazo …