Wachezaji hatari wa timu ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Rahim Hashim na Sudi Hamza wakiwa mazoezini Wachezaji wa mpira wa Pete Safina, Valley, Mariam Lisasi, Mariam Muyovela, Mwajaa, Munisi na Salome Makala. Picha na mdau Rahim Hashim wa Dodoma.
Yaliyojiri katika mechi kati ya Bunge na PSPF huko Dodoma!
Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) wakipata maelekezo ya mwisho kutoka kwa kocha wao katika mazoezi yaliofanyika jumamosi asubuhi katika kiwanja cha Jamhuri Mjini Dodoma kabla ya mpambano wao na Timu ya Bunge. Kocha akiendelea kutoa dozi Wachezaji wakiendelea kumsikiliza kocha wao kwa umakini mkubwa. Picha kwa …
Kocha mkuu Simba kutua Dar
KOCHA mkuu wa timu ya soka ya Simba, Mganda Mosses Bassena atarajiwa kuingia nchini kukinoa kikosi kwa ajili ya Simba Day na mchezo wa ngao ya hisani dhidi ya wahasimu wao Yanga Agosti13. Bassena alikuwa nchini kwao Uganda kwa ajili ya mapunziko mafupi baada ya kumalizika kwa mashindano ya Kombe la Kagame yaliomalizika hivi karibuni na Simba kukubali kichapo cha …
Airtel Rising Star kuanza leo
MASHINDANO ya vijana chini ya miaka 17 yaliyopewa jina la ‘Airtel Rising Star’ yataaza kutimua vumbi leo, ambapo Mkoa wa Dar es Salaam utatumika kupitia viwanja vyake vya Airwing, Makongo na Twalipo. Akizungumza Dar es Salaam jana, Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu za Mikononi ya Airtel, Jackson Mbando alisema kuwa kampuni yao kwa kushirikiana na timu ya Manchester, wameamua …
Simba yaifuata Yanga Taifa
Uwanja wa Taifa unavyoonekana kwa nje. KLABU ya Simba imefuata nyayo za watani wao wa jadi Yanga, baada ya kuamua kuomba Uwanja wa Taifa kama uwanja wao wa nyumbani katika mashindano ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Simba imesema ina matarajio makubwa ya kutumia Uwanja wa Taifa kwa kuwa imeshapeleka maombi yao kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Akizungumza …
TFF yaweka hadharani uhamisho wa wachezaji mbalimbali
UHAMISHO WA WACHEZAJI 2011/2012 Uhamisho wa wachezaji wa Ligi Kuu kwa msimu wa 2011/2012 ulifikia tamati jana saa 6 kamili usiku. Wachezaji ambao maombi yao ya uhamisho yamewasilishwa TFF ni Shabani Kado kutoka Mtibwa Sugar kwenda Yanga, Salum Machaku kutoka Mtibwa Sugar kwenda Simba na Idrisa Rajab kutoka African Lyon kwenda Yanga. Hao ni kwa wachezaji ambao maombi yao yametumwa …