MLINZI wa Werder Bremen anayechezea timu ya taifa ya Ujerumani Per Mertesacker anakaribia kufanyiwa uchunguzi wa afya yake katika klabu ya Arsenal. Beki huyo wa kati mwenye umri wa miaka 26- ambaye pia ni nahodha wa klabu hiyo ya Werder Bremen inayoshiriki Ligi Kuu ya Ujerumani maarufu Bundesliga, pamoja ya kwamba yumo katika kikosi cha timu ya taifa hivi sasa, …
Timu ya Algeria kutua Dar Usiku
Na Mwandishi wetu TIMU ya Taifa ya Algeria (Desert Warriors) itawasili Septemba Mosi mwaka huu saa 2.50 usiku kwa ndege maalum. Taarifa hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari. Wambura amesema Algeria inawasili kucheza mechi ya mchujo kuwania tiketi ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika …
Kim Poulsen aita wachezaji 30 timu ya Taifa Vijana
KOCHA wa Timu za Vijana, Kim Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 30 wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) kwa ajili ya mazoezi mwezi ujao. Wachezaji walioitwa ni Saleh Ally (TSA), Jackson Wandwi (Azam), Hassan Kessy (Mtibwa Sugar), Khamis Mroki (Mtibwa Sugar), Yassin Mustapha (Polisi Dodoma), Andrew Kasembe (Moro United), Issa Rashid (Mtibwa …
Kuziona Star na Algeria kiingilio 3,000/-
VIINGILIO kwa ajili ya mechi ya mchujo kutafuta tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Equatorial Guinea na Gabon kati ya Taifa Stars na Algeria vitakuwa kama ifuatavyo; Viti vya kijani ni sh. 3,000, viti vya bluu sh. 5,000, viti vya rangi ya chungwa sh. 7,000, VIP C sh.10,000, VIP B sh. 20,000 na …
Manchester yafanya mauaji, yaifunga Arsenal 8-2, Man City yaizabua Tottenham 5-1
WAYNE Rooney amepachika mabao matatu peke yake wakati Manchester United ikiinyuka Arsenal kwa mabao 8-2. Danny Welbeck ndiye alifungua karamu ya magoli baada ya kuunganisha pasi ya Anderson. David De Gea aliokoa penati iliyopigwa na Robin Van Persi, na baadaye kidogo Ashely Young kufunga bao la pili. Rooney aliandika bao la tatu na la nne kwa mikwaju miwili ya adhabu, …
‘Bongo Starz’ Katika Mazoezi!
(Picha zote na Abdul Majid)