TIMU ya Taifa ya wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) imetoka sare ya mabao 2-2 na Afrika Kusini (Banyana Banyana) katika mechi ya michezo ya All Africa Games (AAG) iliyochezwa leo Uwanja wa Machava jijini Maputo, Msumbiji. Banyana Banyana ndiyo iliyoanza kupata bao kabla ya Twiga Stars kusawazisha dakika ya 25 kupitia kwa Mwanahamisi Shuruwa. Banyana Banyana ilianza kipindi cha pili …
Serikali yaruhusu uwanja wa Taifa kutumika Ligi Kuu Vodacom
SERIKALI imeruhusu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kutumika kwa mechi za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zinazohusu timu za Simba na Yanga. Hata hivyo ruhusa hiyo ni ya mechi mbili kwa wiki. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na klabu za VPL zenye maskani yake Dar es Salaam waliwasilisha tena maombi Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo …
Nizar Khalfan aishukuru Serikali ya Rais Kikwete
Na Mwandishi Wetu MCHEZAJI maarufu wa soka wa kimataifa wa Tanzania, Nizar khalfan, ameishukuru Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kwa misaada mingi ambayo Serikali imekuwa inatoa kwa wanamichezo, wakiwemo wanasoka na hatua nyingine za Serikali kuunga mkono jitihada za wanamichezo wa Tanzania. Aidha, Nizar Khalfan amemshukuru Rais Kikwete kwa jitihada binafsi ambazo hatimaye zimechangia katika mafanikio ya Nizar Khalfan katika …
Msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania
MSIMAMO WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA; BOFYA HAPA MSIMAMO WA LIGI KUU 2011-2012 media
TFF yafanya mabadiliko ya Ligi Kuu ya Vodacom
Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefanya mabadiliko madogo ya ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kutokana na Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Kaluta Amri Abeid ulioko mkoani Arusha kuwa na shughuli nyingine za kijamii. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo mjini Dar es Salaam kwa vyombo vya habari na Ofisa Habari wa TFF, Boniface …
Kliniki ya mpira wa kikapu yaanza Don Bosco leo
KLINIKI ya mafunzo ya mpira wa kikapu nchini kwa vijana kutoka mikoa 16 ya Tanzania imeanza leo ndani ya viwanja vya Don Bosco Upanga jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yanatolewa na nyota watatu wa mpira wa kikapu kutoka ligi ya nchini Marekani. Wachezaji ambao wanaendesha Kliniki hiyo ni Tamika Raymond (WNBA), Becky Bonner (WNBA) na Dee Brown (NBA) aliyechezea …