TIKETI kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu ya Vodacom zinazohusisha timu za Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Azam ulioko Chamazi, Dar es Salaam hazitauzwa uwanjani. Lengo ni kuwaondolea usumbufu mashabiki ambao wanakwenda kwenye mechi hizo na kukuta tiketi zimekwisha, hivyo kuweza kuwa chanzo cha vurugu. Ili kujiridhisha Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilifanya uhakiki na kubaini …
Legendary Footballers Okocha, Desailly, Song & Bwalya
LEGENDARY FOOTBALLERS OKOCHA, DESAILLY, SONG AND BWALYA STEP UP TO THE GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ 12th September, 2011 Dar Es Salaam Tanzania: The GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™, for all lovers of the GREATNESS™ of Guinness® and the GREATNESS™ of Football, is here. This time around, the not-to-be-missed TV game show phenomenon is going to be even bigger and better than before as …
Simba, Yanga sasa kukipiga Chamazi
TIMU za Simba na Yanga sasa zitaanza kuutumia Uwanja wa Azam Chamazi ulioko Mbande, Dar es Salaam wiki hii. Akitoa taarifa hiyo leo jijini Dar es Salaam, Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura alisema, Septemba 14 mwaka huu Simba itakuwa mwenyeji wa Polisi Dodoma wakati siku inayofuata African Lyon itakuwa mwenyeji wa Yanga. Aliongeza kuwa viingilio kwa mechi zinazohusisha timu …
TFF yafanya marekebisho tena mechi za Taifa
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzabia (TFF), ilimefanya marekebisho kwa mechi za Uwanja wa Taifa ili kutekeleza maagizo ya Serikali kucheza mechi mbili tu za Ligi Kuu ya Vodacom, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. TFF imefanya marekebisho hayo kwa baadhi ya mechi zilizokuwa zichezwe kwenye uwanja huo. Katika taarifa yake iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo, na kusainiwa …
Masikini Yangaaa! yaendelea kutota Ligi Kuu
TIMU ya Yanga ya Dar es Salaam imeendelea kuchechemea katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania baada ya mdudu wa sare kumng’ang’ania tena na timu ya Ruvu Shooting. Jana katika mchezo wake na timu hiyo Yanga imelazimisha sare ya bao 1-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, ambao Yanga ilijinasibu kuwa itashinda baada ya kuanza kutumia uwanja huo. Kwa …
Arsene Wenger akiri usajili ulimsumbua
ARSENE Wenger amesema alitaabika sana wakati wa msimu huu wa usajili na kuuelezea kuwa ni “usajili ulionisumbua ambao haujawahi kutokea tangu niwasili hapa”. Gunners ilimuuza Cesc Fabregas, Samir Nasri na Gael Clichy kwa klabu za Barcelona na Manchester City na wameuanza msimu huu vibaya sana, wakadhalilishwa kwa kubugizwa mabao 8-2 na Manchester United. Meneja huyo wa Arsenal amesema: “Katika kazi …