CAF kutoa leseni za ukucha daraja ‘C’ Tanzania

Na Mwandishi Wetu KOZI ya ukocha kwa ajili ya kupata leseni za daraja C kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) itafanyika Ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuanzia Novemba 7 hadi 20 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam na Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura amesema jumla ya makocha …

SAFA yaomba radhi na kuondoa rufaa CAF

CHAMA cha Soka cha Afrika Kusini (Safa) kimefuta rufaa yake iliyokuwa na utata kwa Shirikisho la Soka la Afrika Caf kuhusiana na utaratibu wa kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika. Safa pia imeomba radhi kwa nchi kutokana na timu yao ya taifa ya soka Bafana Bafana kushindwa kufuzu kucheza katika mashindano yajayo ya Kombe la Mataifa ya Afrikas. Chama …

Waandaji wa “Vodacom Mwanza Open Cycle Challenge” watangaza njia

*Ni zile zitakazotumika kwenye mashindano hayo VODACOM Tanzania ambao ni waandaaji wa mbio za baiskeli zijulikanazo kama “Vodacom Mwanza Open Cycle Challenge” wametangaza njia (route) zitakazotumika kwenye mashindano ya baiskeli ambazo zitaanzia mjini Shinyanga na kumalizikia jijini Mwanza Oktoba 22 yanayotarajia kugharimu zaidi ya sh. milioni 50. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Mwanza leo, katika ofisi ya Vodacom Kanda …

Taifa Stars kuingia kambini dhidi ya Chad

Na Mwandishi Wetu TAIFA Stars inatarajia kuingia kambini Novemba 3 mwaka huu kujiandaa kwa mechi ya kwanza ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Chad itakayofanyika Novemba 11 mwaka huu jijini N’Djamena. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisa Habari wa TFF leo mjini Dar es salaam, Boniface Wambura amesema wachezaji watakaoitwa Stars wanatakiwa kuripoti kambini ndani ya muda …

TFF yatatua utata wa uuzwaji Small Kids

KAMATI ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeketi Oktoba 16 mwaka huu pamoja na mambo mengine kutolea uamuzi utata uliojitokeza na kukwamisha mechi ya Ligi Daraja la Kwanza kati ya Polisi Iringa na Small Kids ya Mpanda, Rukwa iliyokuwa ichezwe Oktoba 15 mwaka huu Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora mjini Iringa. Utata huo ulisababishwa na uuzwaji …

Mwandishi Hamad Maulid afariki dunia

CHAMA Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinasikitika kutangaza kifo cha mwandishi mahiri wa habari za michezo Zanzibar, Maulid Hamad Maulid. Maulid ambaye anafanyia kazi vituo vya Redio One na ITV akiwa Zanzibar, amefariki dunia leo Jumanne Oktoba 18, 2011 asubuhi nyumbani kwake Jang’ombe Zanzibar. Taswa imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Maulid kwani alikuwa kiungo …