Mechi za wiki hii za Ligi Kuu ya Vodacom ni kama ifuatavyo; Oktoba 24- Coastal Union vs Polisi Dodoma (Uwanja wa Mkwakwani) Oktoba 24- African Lyon vs Villa Squad (Uwanja wa Chamazi) Oktoba 25- Moro United vs Ruvu Shooting (Uwanja wa Chamazi) Oktoba 25- Mtibwa Sugar vs Azam (Uwanja wa Manungu) Oktoba 26- Toto Africans vs Kagera Sugar (Uwanja wa …
Sabri Ramadhan aibuka Mchezaji Bora wa Sept
KIUNGO wa timu ya Coastal Union, Sabri Ramadhan ‘China’ amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Septemba katika Ligi Kuu ya Vodacom. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Dar es Salaam na Ofisa Habari wa TFF, China amechaguliwa baada ya kupata pointi nyingi kwenye mechi alizocheza kwa mwezi huo. Baadhi ya mechi alizopata pointi nyingi ni dhidi ya African Lyon na …
Poulsen ataja wachezaji wa U17 watakao kwea pipa
Na Mwandishi Wetu KOCHA wa Timu za Vijana Tanzania, Kim Poulsen ametaja kikosi cha Timu ya Vijana wa Chini ya Miaka 17. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura (pichani) jana; amesema Poulsen amewataja wachezaji 14 ambao wanatarajia kuondoka nchini Oktoba 27 kuelekea Johannesburg Afrika ya Kusini. Amesema timu hiyo itaanza mazoezi leo katika uwanja …
India yaitandika England katika kriketi
India ikicheza nyumbani iliicharaza England 3-0 nakupata ushindi wa wiketi tano. Ikijitahidi ifanikiwe kupata runs 299, ilianza vyema kupitia wachezaji Ajinkya Rahane, aliyefanikiwa kupata runs 91, lakini harakaharaka ilipoteza wiketi nne, lakini bado kufanikiwa kuonyesha ustadi mwishomwisho wa mchezo. Mahendra Dhoni, pasipo kuondolewa, aliweza kuiletea timu yake ushindi kwa kupata runs 35. Hapo awali, Jonathan Trott, bila kuondolewa, aliisaidia England …
Kalou ataka nafasi zaidi Chelsea
SALOMON Kalou, mchezaji wa Ivory Coast ambaye huichezea Chelsea, ameielezea klabu hiyo kupata hakikisho kwamba atacheza mechi zaidi, kabla ya kukubali kutia saini mkataba mpya Stamford Bridge. Kalou, mwenye umri wa miaka 26, ameamua kuondoka katika klabu hiyo mara mkataba wake utakapokwisha msimu huu, kwani anakerwa kwa kutocheza mechi kila wikendi Naye Meneja Andre Villas-Boas alifichua wiki iliyopita kwamba majadiliano …
FIFA kupambana na ufisadi duniani
RAIS wa shirikisho la soka Ulaya, UEFA Michel Platini anasema FIFA lazima kuimarisha sifa nzuri ulimwenguni Michel Platini, na wakauu wengine saba kutoka barani Ulaya, watafanya kwanza mkutano wao kando ili kukubaliana katika mambo machache ambayo wangelipenda kutiliwa maanani na Sepp Blatter, na raia wa Ufaransa Plattini anasisitiza juu ya kupitisha mapendekezo hayo ambayo yataipatia nguvu mamlaka zaidi kamati ya …