Dirisha la Usajili kwa Wachezaji Kufungwa Mwezi Ujao

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine ameziasa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) na Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kutimiza masharti ya kupata vibali vya kuishi na kufanya kazi Tanzania kwa wachezaji na wataalamu wa kigeni wakiwamo makocha na madaktari kabla ya kuingia nao kandarasi za ajira. Masharti hayo ni vibali …

Mourinho na Rooney Wajiingiza Matatani Kwa Mara Nyingine

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho ataamua ni safu gani ambayo Wayne Rooney atalichezea taifa lake, kulingana na mkufunzi mpya wa Uingereza Sam Allardyce. Rooney mwenye umri wa miaka 30 alicheza safu ya mashambulizi chini ya mkufunzi Roy Hodgson katika michuano ya Euro 2016 Lakini Allardyce amesema kuwa ni mapema mno kuthibitisha iwapo Rooney,ambaye analiongoza taifa lake katika ufungaji wa …

Klabu ya Arsenal Wabaniwa Kumnunua Alexandre

Klabu ya Lyon imekataa ombi la Euro milioni 35 kutoka Arsenal kumnunua mshambuliaji wa Ufaransa Alexandre Lacazette. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 alifunga mabao 21 katika mechi 34 msimu uliopita na kandarasi yake katika klabu hiyo inakamilika 2019. Katika taarifa yake katika mtandao wa Twitter,Klabu hiyo ya Ufaransa ilisema Lacazette hanunuliki na ni miongoni mwa viongozi wa timu …

JKT Ruvu Yaichapa Simba Fainaliza Mashindano ya FASDO Dar

     Timu ya Simba chini ya Umri wa Miaka 20 wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mpira kuanza dhidi ya JKT Ruvu  Timu ya JKT Ruvu chini ya umri wa miaka 20 wakiwa katika picha ya pamoja kabla mechi haijaanza dhidi ya Simba  Mpira ukiwa unaendelea huku ikiwa ni vuta nikuvute ambapo JKT Ruvu waliibuka washindi wa mabao …

Rais wa FIFA Aipendelea Bara la Afrika Kombe la Dunia

Bara la Afrika litapewa nafasi nyengine mbili zaidi iwapo ulimwengu wa dunia litaongeza idadi ya mataifa yanayoshiriki hadi 40 kuanzia mwaka 2026 kulingana na rais wa FIFA Gianni Infantino. Infantino alipendekeza kuongezwa kwa timu hizo kabla ya kuchaguliwa kwake na shirikisho hilo la soka duniani. Kwa sasa Afrika ina nafasi tano pekee katika michuano hiyo . Hatahivyo hatua hiyo itaidhinishwa …

Mkwasa Ataja Majeshi yake Yatakayoivaa Nigeria

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi cha wachezaji 24 kitakachoingia kambini Julai 30 kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Nigeria unatarajiwa kuchezwa mwanzoni mwa mwezi Septemba. Mkwasa amesema ametoa nafasi kubwa kwa wachezaji vijana ili kuwapa uzoefu lakini ameongeza kuwa, atahitaji wachezaji wote kwasababu licha ya mechi hiyo kutokuwa …