Shangwe Uganda Kufurahia Kufuzu AFCON 2017

Sherehe zimekuwa zikiendelea kote nchini Uganda kufuatia timu ya taifa ya nchi hiyo kufuzu kucheza fainali za kombe la mataifa ya Afrika baada ya kusubiri kwa kipindi cha karibu miaka 40. Mara ya mwisho Uganda ilicheza Kombe la mataifa ya Afrika mwaka 1978. Wamefuzu tena baada ya kuishinda Comoro 1-0 mjini Kampala.Omar Mutasa alikuwepo na ana maelezo zaidi.

StarTimes Kurusha Michuano ya Kufuzu Kombe la Dunia

MATAIFA 54 ya Barani Ulaya siku ya Jumapili hii yatashuka dimbani katika harakati za kuwania nafasi ya kufuzu ili kuungana na mwenyeji nchi ya Urusi katika michuano ya kombe la dunia itakayofanyika nchini humo mwaka Akitoa taarifa hiyo ya kusisimua kwa mashabiki wa soka nchini Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania,  Zuhura Hanif amesema kuwa hii ni habari njema kwa …

Diana Edward Ndiye Miss Kinondoni 2016…!

   Malkia wa Kinondoni 2016 Diana Edward ndiye huyu hapa.  Warembo hao wakiserebuka wakati wakijitambulisha.  Wadau wakifuatilia kwa karibu shindano hilo.   Washiriki wa shindano hilo wakiwa katika vazi la ubunifu. Kutoka kushoto ni Catherine Liston, Hafsa Mahamoud na Mariana Charles.    Washiriki hao waliofanikiwa kuingia 10 bora.  Washiriki waliofanikiwa kuingia tano bora. Kutoka kulia ni Hafsa Mahamoud, Diana Edward ambaye …

Kuhusu Kessy Kutua Yanga Hali Bado Sio Swali

Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji iimeahirisha kikao chake kilichokuwa kikae kesho Jumapili Septemba 4, 2016 kutoa hukumu ya shauri la mchezaji Hassan Ramadhan Kessy anayedaiwa na Klabu ya Simba kuvunja mkataba kwa kuanza kufanya mazoezi na klabu ya Young Africans sambamba na kusajili katika timu hiyo ya Mtaa wa Jangwani, Dar es Salaam kabla ya mkataba wake …

Huu Mwaka Lazima Mmoja Aitwe Mchawi wa Mwenzake

Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola amemwacha nje kiungo wa kati wa timu hiyo yaya Toure katika kikosi chake cha kombe la vilabu bingwa Ulaya mwaka 2016-17. City haikuweza kuweka zaidi ya wachezaji 17 wa kigeni katika kikosi chao. Na Guradiola ana wachezaji 18 licha ya kuwauza wachezaji wanne wa kigeni kabla ya kukamilika kwa dirisha la uhamisho. Vilabu vinaweza …

Ligi Kuu Bongo Kuendelea Wikiendi Hii

Raundi ya tatu ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kesho Jumamosi Septemba 3, 2016 kwa michezo minne wakati kwa Jumapili Septemba 4, mwaka huu kutakuwa na mchezo mmoja tu kwa mujibu wa ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyotolewa na Bodi ya Ligi (TBLB). Michezo ya kesho ni kati ya Mbao FC na Mbeya City utakaofanyika Uwanja …