RAIS wa Marekani Barack Obama aliyechaguliwa tena kwa muhula wa pili baada ya kumshinda mpinzani wake wa chama cha Republican, Mitt Romney amesema yupo tayari kufanya kazi na mpinzani wake. Barack ambaye ni rais wa kwanza mweusi wa Marekani, alipata kura 270 za (Electral College) zilizohitajika ili kupata ushindi. Kura hizi hupigwa na watu maalum wanaoteuliwa na majimbo kulingana na …
Mawaziri Wajadili Sheria Itakayoruhusu Mashoga Kuoana na Kupata Watoto Ufaransa
MIPANGO ya sheria mpya itakayowaruhusu wapenzi wa jinsia moja nchini Ufaransa kuoana na kupata watoto inajadiliwa katika mkutano muhimu wa baraza la mawaziri la Rais Francois Hollande. Ufaransa inaruhusu uhusiano wa pamoja kati ya wapenzi wa jinsia moja lakini rais wa nchi hiyo alioongoza jitihda za kuwaongezea haki zao kama sehemu ya kampeini yake ya uchaguzi mapema mwaka huu.Sasa anakabiliwa …
Obama Ashinda Uchaguzi Marekani
MGOMBEA wa Urais wa Marekani kutoka chama cha Democratic, Barack Obama tayari ameshinda uchaguzi huo. Taarifa ambazo mtandao huu umezipata kutoka vyanzo vyake nchini Marekani Obama ameshinda katika majimbo 281 kiwango ambacho mpinzani wake Mitt Romney wa chama cha Republican hawezi kukifikia tena kwa sasa. Ingawa idadi fulani ya kura bado inahesabiwa mshindi katika kiti hicho inatakiwa angalau ashinde katika …
Matokeo ya Awali ya Uchaguzi Marekani Yaanza Kutolewa
MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu wa nafasi ya urais nchini Marekani yameanza kutolewa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Licha ya ushindani huo kuwa mkali hadi sasa Rais Barack Obama anaongoza kwa ushindi wa majimbo 172 huku mpinzani wake Mitt Romney akiwa amejikusanyia majimbo 163. Rais Obama wa chama cha anaongoza ameshinda katika majimbo ambayo yalikuwa muhimu sana kubaini mshindi wa uchaguzi …
Uchaguzi Marekani; Wananchi wa Marekani Kuamua Leo, Je ni Obama au Romney
LEO ni siku muhimu kwa Wamarekani kwani wapiga kura wa Marekani wanatarajia kuhitimisha zoezi la upigaji kura katika majimbo yote ili kumpata mshindi katika uchaguzi wa urais ulio na ushindani mkubwa. Rais wa Marekani Barack Obama na mpinzani wake Mitt Romney siku ya jumatatu walifanya kampeni za dakika za mwisho kwa wapiga kura katika majimbo muhimu ikiwa imebakia siku moja …
Kanisa la Polisi lashambuliwa Kenya, Sudan Kusini Yamtimua Ofisa wa UN
POLISI nchini Kenya wamesema watu wapatao saba wamejeruhiwa kwenye shambulio la guruneti dhidi ya Kanisa katika Mji wa Garissa. Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya na televisheni ya Kenya (KTN), wanasema idadi ya watu waliojeruhiwa inaweza kuwa kubwa zaidi na baadhi ya majeruhi ni mahatuti. Ofisa mmoja amesema kanisa hilo lilikuwa ndani ya kambi ya polisi na guruneti liling’oa paa …