SHIRIKA la Reli nchini Kenya limepiga hatua ya maendeleo kwa usafiri wa treni nchini humo baada ya kuzindua treni mpya ya kisasa ambayo ina mwendo wa kasi itakayo toa huduma kwa wakazi wa viungani vya Jiji la Nairobi. Kwa mujibu wa taarifa zaidi zinasema ni treni ya kwanza ya aina yake kuzinduliwa tangu Kenya kujipatia uhuru mwaka 1963. Treni hiyo …
Askari Polisi 40 Wauawa na Wezi wa Mifugo Kenya
INAKADIRIWA kuwa askari polisi 40 wamethibitishwa kuuawa nchini Kenya katika shambulizi lililofanywa dhidi yao walipokuwa wanajaribu kuokoa mifugo waliokuwa wameibwa. Taarifa zaidi zinasema maofisa hao walivamiwa katika eneo la Baragoi, Kaunti ya Samburu, Kaskazini mwa nchi siku ya Jumamosi. Msemaji wa polisi amesema kuwa polisi 29 waliuawa pamoja na washambuliaji watatu, lakini viongozi wa kijiji wanatofautiana kwa kusema kuwa huenda …
Mkurugenzi Mkuu wa BBC Ajiuzulu
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Habari, BBC, George Entwistle amejiuzulu wadhifa huo. George Entwistle amejiuzulu kama Mkurugenzi BBC kwa kile kufanyika makosa katika moja ya vipindi vya shirika hilo la habari Ulimwenguni. Taarifa zaidi zinasema Entwistle amekuwa akishutumiwa kwa namna alivyoshughulikia taarifa iliyopeperushwa katika kipindi cha Newsnight. Taarifa hiyo kwa makosa ilimshutumu aliyekuwa Waziri wa Fedha wakati wa serikali ya …
Mkuu wa Shirika la Upelelezi la Marekani (CIA) Ajiuzulu
MKURUGENZI wa Shirika la Upelelezi la Marekani CIA, David Patreaus amejiuzulu kutokana na kuwa na mahusiano ya nje ya ndoa ambayo yamezua hali isiyofaa kwake kuendelea na kazi hiyo. Petreus, ambaye alichukua wadhifa huo miezi 14 iliyopita baada ya kustaafu katika jeshi la Marekani akiwa Jenerali mwenye nyota nne amefafanua kuhusu uamuzi wake huo katika barua yaliyoiandika kwa maafisa wa …
Kanisa la Anglikana Lapata Askofu Mkuu Ulimwenguni
KIONGOZI wa kiroho wa Kanisa la Anglikana, Justin Welby amesema ameshangazwa na nyadhifa aliyopewa ya Askofu Mkuu wa Kanisa Hilo Ulimwenguni ikiwa ni baada ya kuachia ngazi aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Rowan Williams. Askofu Welby alitoa kauli hiyo baada ya kuthibitishwa kwa nafasi yake hiyo mpya. Katika mkutano na waandishi wa habari, Askofu Justin Welby ambaye ni askofu …
Waasi Watungua Ndege ya Jeshi Sudan
WAASI katika Jimbo la Kordofan Kusini, nchini Sudan wamesema kuwa wametungua ndege ya kijeshi karibu na mpaka wake na Sudan Kusini. Msemaji wa kundi la SPLM-North alisema kuwa ndege hiyo ilitunguliwa kufuatia ufyatuaji mkubwa wa risasi katika eneo la milimani la Nuba siku ya Jumatano. Hakuna tamko lolote kutoka kwa serikali ya Khartoum kuhusu shambulizi hilo. Waasi wamekuwa wakipigana dhidi …