Baadhi ya wapiganaji wa Mau Mau waliodhulumiwa na wakoloni wa Uingereza Stakabadhi za Serikali zilizotolewa huko Uingereza zinaonyesha kwa ukamilifu namna wafungwa wengi waliuawa wakati wa uasi wa kundi la Mau Mau nchini Kenya. Wakenya kumi na mmoja walipigwa na walinzi hadi kufa katika kambi walikozuiliwa ya Hola huku wengine wakijeruhiwa mwaka 1959. Mzee moja manusura wa mauaji hayo kwa …
TheHabari Yaomboleza Kifo cha Zig Ziglar
MTANDAO huu unaungana na wamarekani pamoja na wadau wengine duniani walioutambua na kuuthamini mchango wa gwiji la uhamasishaji hapa Marekani na duniani kwa ujumla, Mzee Zig Ziglar. Mzee huyu alikuwa ni hodari sana katika fani ya Uhamasishaji (The Art of Motivational Speaking) na aliweza kuwasaidia watu wengi kubadili muelekeo wa maisha yao katika nyanja za kielimu, kibiashara,kijamii, na kimaisha kwa …
Washukiwa wa ICC Kenya Kuunda Muungano
WASHUKIWA wawili wakuu wa ghasia za baada ya uchaguzi nchini Kenya, Uhuru Kenyatta na William Ruto wanajadiliana kwa lengo la kuunda muungano wa kisiasa watakaotumia kugombea uongozi wa nchi. Taarifa za awali zilisema kuwa wawili hao tayari wameunda muungano huo ingawa baadaye Ofisa wa mawasiliano wa vigogo hao alikana kuwepo makubaliano yoyote. Wawili hao ambao ni mahasimu wa jadi kisiasa,wanaanda …
Riporti ya Nchi Maskini sana Duniani 2012 Ukweli wa Mambo na Takwimu
Ripoti ya Nchi Maskini Sana Duniani ya Mwaka 20121, yenye kichwa kidogo cha habari Kutumia Fedha Zinazotumwa na Raia Wanaoishi Nga’ambo na Weledi Wao Kujenga Uwezo wa Uzalishaji, imetolewa leo. Mwelekeo wa uhamiaji -Idadi ya watu ambao wamehamia Ulaya kutoka Nchi Maskini Sana (LDCs) iliongezeka kutoka milioni 19 mwaka 2000 kufikia milioni 27 mwaka 2010. Hii ni sawa na 3.3% …
Mwili wa Hayati Yasser Arafat Wafukuliwa
MWILI wa kiongozi wa zamani wa Palestina, Yasser Arafat, umefukuliwa kutoka kaburi lake liloko ukingo wa Magharibi mjini Rammala ili kuwawezesha kuufanyia uchunguzi kubaini iwapo aliuwawa kwa sumu. Bwana Arafat alifariki dunia mwaka 2004 nchini Ufaransa baada ya kuugua kwa kipindi kifupi. Maradhi yaliyopelekea kifo chake hayakubainika. Uamuzi wa kuufukua mwili wa Yasser Arafat katika kaburi lake lililoko ukingo wa …
Rais Morsi Aahidi Demokrasia
Rais Mohamed Morsi amesisitiza Ijumaa (22.11.2012)kuwa Misri inaelekea katika “uhuru na demokrasia”,baada ya kujilimbikizia madaraka makubwa,hali ambayo imezusha mapambano kati ya wale wanaomuunga mkono na mahasimu. “Uthabiti wa kisiasa, uthabiti wa kijamii na uthabiti wa kiuchumi ndio kitu ninachokitaka na ndio ninachokifanyia kazi,” ameuambia mkusanyiko wa wafuasi wake nje ya Ikulu ya nchi hiyo. Wapinzani wa Morsi walianza hatua ya …