RAIS mteule wa Korea Kusini , Park Geun-hye, amesema ushindi wake katika uchaguzi mkuu utasaidia uchumi wa taifa hilo kuimarika. Bi. Park, ambaye ni mwanawe, kiongozi wa kiimla wa zamani wa taifa hilo Parl Chung-hee, alimshinda mpinzani wake wa chama cha Liberal Moon Jae-in na kuwa kiongozi wa kwanza wa taifa hilo mwanamke. Kura bado zinaendelea kuhesabiwa, lakini Bwana Moon …
Kagame Aonywa Dhidi ya Kuwasaidia Waasi
RAIS Barrack Obama wa Marekani ametoa wito kwa rais wa Rwanda Paul Kagame, kusitisha msaada anaotoa kwa makundi ya waasi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Kwa mujibu wa ikulu ya White House, rais Obama alifanya mazungumzo ya simu ya Rais Paul Kagame siku ya jumanne, ambapo aliafiki tangazo lake la kujitolea katika harakati za kupatikana kwa amani katika Jamuhuri …
Zuma Achaguliwa Tena Kuongoza ANC
RAIS Jacob Zuma amechaguliwa kwa mara nyingine kuwa kiongozi wa chama tawala nchini humo cha African National Congress ANC. Zuma alipata idadi kubwa ya kura zilizopigwa na wajumbe elfu nne wa chama hicho wakati wa mkutano wao uliofanyika Mangaung. Tangu mwanza wa zoezi hilo, Rais Zuma, alitarajiwa kushinda na idadi kubwa ya kura dhidi ya mpinzani wake wa pekee ambaye …
Kiongozi wa Waasi Aachiliwa Huru na ICC
Kiongozi wa zamani wa waasi congo Mathieu Ngudjolo Chui Mahakama ya Kimataifa ya jinai ya ICC, iliyoko The Hague, imemuachilia huru aliyekuwa kiongozi wa waasi Congo, Mathieu Ngudjolo Chui. Ngudjolo Chui alifikishwa mbele ya mahakama hiyo mwaka wa 2003, kwa tuhuma za uhalifu wa kivita ikiwa ni pamoja na mauaji ya watu 200 katika Kijiji cha Boogoro, iliyo na utajiri …
Msiwaue Wapenzi wa Jinsia Moja-Museveni.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amesema wapenzi wa jinsia moja hawapaswi kuuawa au kudhalilishwa, huku wabunge wa nchi hiyo wakiendelea na mjadala wa kutathmini kuhusu muswada wenye utata wa kupinga wapenzi wa jinsia moja. Katika matamshi yake ya kwanza hadharani, kuhusu muswada huo, Rais Museveni amekariri kuwa suala la mapenzi ya jinsia moja halipaswi kupewa nafasi kukita mizizi. Muswada wa …
Mkutano Mkuu wa ANC Waanza Afrika Kusini
CHAMA tawala cha Afrika Kusini (ANC) kimeanza mkutano wake wa taifa leo mjini Mangaung ambako chama hicho kiliundwa miaka 100 iliyopita. Katika kikao hicho chama kitachagua viongozi wake. Nje ya ukumbi wa mkutano baadhi ya wajumbe waliimba wakati wamepanga foleni kuingia ndani. Rais Jacob Zuma atapambana na naibu wake, Kgalema Motlanthe, kuania uongozi. Waandishi wa habari wanasema mkutano huo unafanywa …