Washukiwa wa M23 wakamatwa Afrika Kusini

POLISI nchini Afrika Kusini wamewakamata watu wanaoaminika kuwa washukiwa wa kundi la waasi wa M23 wanaoendeshea harakati zao katika Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo. Polisi wanasema kuwa wamewazuilia katika mkoa wa Lompopo Kaskazini mwa nchi. Inaarifiwa walikamatwa na polisi wa kupambana na ugaidi baada ya kupokea habari katika operesheini iliyofanywa kwa miezi kadhaa. Washukiwa hao, wanatarajiwa kufikishwa mahakamani baadaye leo. …

Wafungwa wa Mauaji ya Kimbari Waachiliwa

MAHAKAMA inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imebatilisha uamuzi wa kesi iliyowahusu mawaziri wawili wa zamani nchini Rwanda na kuamuru waachiliwe mara moja. Justin Mugenzi na Prosper Mugiraneza walihukumiwa miaka 30 jela mnamo mwaka 2011, kwa kuhusika na mauaji hayo pamoja na uchochezi wa watu kufanya mauaji. Wadadisi wa mambo wanasema Serikali ya Rwanda huenda ikaghadhabishwa na hatua ya kuachiliwa …

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Irina Bokova’s Awasili nchini

span style=”color: #000000;”> Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimlaki Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s aliyewasili nchini usiku wa kuamkia leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini. Waliobaki nyuma ni Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Dkt. Alberic Kacou, Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mh. Begum Taj na Msaidizi wa …

JK Akutana, Afanya Mazungumzo na Maafisa Waandamizi wa Serikali za Burundi na DRC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili, Februari 3, 2013, amekutana na kufanya mazungumzo na maofisa waandamizi wa Serikali za nchi jirani za Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Katika mikutano miwili tofauti, Rais Kikwete amekuta na nakuzungumza na Mwenyekiti wa cha matawala cha Burundi cha CNDD-FDD, Paschal Nyabenda ambaye pia ni Seneta wa …

25th International Africa Festival

Lile tamasha kubwa la tamaduni za kiafrika litafanyika tena jijini Wurzburg, nchini Ujerumani kuanzia May 30 – June 2, 2013. Haya ndugu zangu, mnaotaka kuudhuria andaeni ticket kabisa, ili mkajumuike na mkongwe wa muziki, Manu Dibango, na wengine wengi. Chanzo: www.africafestival.org

Ombaomba waongezeka Marekani!

Na muandishi wetu, Santa Barbara, California. Wimbi la ombaomba limekuwa ni kero kwa wakazi na watalii wa mji wa Santa Barbara hapa USA. Uchunguzi uliofanyika na dev.kisakuzi.com umebaini kwamba kuna vijana wengi wapo mtaani wanazagaa bila kazi. Wengi wa vijana hao imebainika wana matatizo ya akili, na baadhi yao wameamua tu kuelekeza nguvu zao kwenye biashara hiyo ya kuomba, ambayo …