Odinga Atinga Rasmi Mahakamani Kupinga Ushindi wa Kenyatta

Na Isaac Mwangi, EANA MSHINDI wa kiti cha uraisi katika uchauguzi mkuu wa Kenya kupitia muungano wa Jubilee, Uhuru Kenyatta amepingwa rasmi jana mbele ya Mahakama ya Juu ya Kenya Jumamosi. Raila Odinga wa muungano wa Cord ambaye alishika nafasi ya pili katika uchaguzi huo ulifanyika Machi 4, 2013, amewasilisha pingamizi lake mahakamani akitaka matokeo ya uchaguzi yatenguliwe. Mahakama ya …

Odinga apinga rasmi ushindi wa Kenyatta

Mshindi wa kiti cha uraisi katika uchauguzi mkuu wa Kenya kupitia muungano wa Jubilee, Uhuru Kenyatta amepingwa rasmi jana mbele ya Mahakama ya Juu ya Kenya Jumamosi. Raila Odinga wa muungano wa Cord ambaye alishika nafasi ya pili katika uchaguzi huo ulifanyika Machi 4, 2013, amewasilisha pingamizi lake mahakamani akitaka matokeo ya uchaguzi yatenguliwe. Mahakama ya Juu ya Kenya inatarajiwa …

Xi Aapa Kupambana na Ufisadi

KIONGOZI mpya wa China, Xi Jinping, ameahidi kuongoza serikali safi na yenye ufanisi zaidi na kupambana na ufisadi baada ya ubadilishanaji wa madaraka kwenye taifa hilo la kikomunisti lenye nguvu kubwa kiuchumi duniani. Katika hotuba yake ya mwanzo baada ya kuchaguliwa, Xi amesema kwamba atapigania “kuiinua upya hadhi ya taifa la China,” na kutaka kuchukuliwa kwa jitihada za makusudi na …

Zimbabwe Kuidhinisha Rasimu ya Katiba

WAZIMBABWE wanapiga kura 16.03.2013 kuhusu katiba mpya, ambayo itapunguza madaraka ya Rais Robert Mugabe na kusafisha njia kwa ajili ya uchaguzi mpya baadaye mwaka huu. Chama kikuu cha upinzani nchini humo, ikiwa ni pamoja na chama tawala cha rais Mugabe cha ZANU-PF , vinaunga mkono rasimu hiyo ya katiba na kufanya wingi wa wastani unaohitajika kupitisha rasimu hiyo kwa kura …

JK Atuma Salamu za Pongezi kwa Rais wa China

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pongezi kwa Xi Jinping kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China. Rais Jinping alichaguliwa Jumanne wiki hii kuwa Rais wa China kuchukua nafasi ya Hu Jintao ambaye amemaliza muda wa uongozi wa miaka 10. Katika salamu zake za pongezi, Rais Kikwete amemwambia Rais Jinping: …

Haya Ndiyo Asiyoyapenda Papa Mpya wa Katoliki

KADINALI Jorge Mario Bergoglio wa Argentina aliyechukua jina la upapa la “Francis wa Kwanza” ndiye Papa mpya wa Kanisa Katoliki lenye waumini wapatao bilioni 1.2 duniani kote na wa kwanza kutokea Amerika ya Kusini. Sauti ni ya utulivu inayowasilisha ujumbe wa kimapinduzi.”Cambia todo cambia” yaani yote yanabadilika ni maneno ya wimbo wa mwanamuziki maarufu sana katika Amerika ya Kusini, Mercedes …