Rais Barack Obama Atupia ‘Madongo’ Donald Trump

RAIS wa Marekani, Barack Obama, ameshtumu vikali matamshi ya mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump, kwamba waislamu wasiruhusiwe kuingia Marekani. Obama amesema hiyo ‘si marekani wanayohitaji.’ “Kuwabagua Waislamu wa Marekani kutasababisha nchi hiyo kukosa usalama, na kuongeza tofauti iliopo kati ya nchi za magharibi na zile za kislamu,” Obama alisema. Siku ya Jumatatu bwana Trump, aliongezea …

Mamba Akwapua Mtoto na Kutoweka Naye

POLISI katika Jimbo la Florida nchini Marekani wanamtafuta mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka miwili aliyenyakuliwa na mamba karibu na bustani ya shirika la Disney world mjini Orlando nchini Marekani. Mtoto huyo alikuwa katika boti yake akipiga makasia kabla ya mamba huyo kumzamisha kwenye maji na kupotea naye. Taarifa zinasema Baba wa mtoto huyo alijaribu kumuokoa katika purukusani lakini …

Maiti 117 za Waliokufa Maji Baharini Libya Zapatikana

SHIRIKA la ‘Red Crescent organisation’ limesema kuwa idadi ya miili ambayo imepatikana hadi sasa katika ufukwe wa bahari Magharibi mwa Libya imeongezeka na kufikia miili 117. Taarifa zinadai waliofariki wanaaminika walikuwa ni wahamiaji kutoka Jangwa la Sahara ambao walikufa maji wakijaribu kuelekea Ulaya. Hata hivyo haijulikani ni lini wahamiaji hao haramu walikufa maji katika safari yao. Miili ya wahamiaji hao …

Magaidi Yahofiwa Kushambulia Michuano ya Euro 2016

TAIFA la Marekani linahofia kwamba huenda michuano ya soka ya Euro 2016 itakayofanyika nchini Ufaransa mwezi ujao ikashambuliwa na magaidi. Idara ya masuala ya kigeni nchini Marekani imesema idadi kubwa ya watalii wanaotembelea Ulaya katika miezi ya kiangazi huenda pia ikawavutia washambuliji hao hivyo kutoa tahadhari. Michuano ya Euro 2016 inatarajiwa kuandaliwa kuanzia Juni 10 hadi Julai 12, 2016 katika …

Mrembo Ahukumiwa Kwenda Jela kwa Kumtusi Rais

MAHAKAMA moja mjini Istanbul imemhukumu kwenda jela mshindi wa zamani wa tuzo ya urembo nchini Uturuki kwa kosa la kumtusi rais wa nchi hiyo, Recep Tayyip Erdogan. Malikia huyo wa ulibwende, Merve Buyuksarac amehukumiwa kifungo cha miezi 14 gerezani. Bi. Buyuksarac, mwenye umri wa miaka 27 alipatikana na hatia ya kumtukana hadharani Mkuu wa nchi hiyo na serikali. Taarifa zinasema …

Wahamiaji 700 Wahofiwa Kufa Maji Baharini…!

UMOJA wa Mataifa (UN) umebainisha kuwa wahamiaji wapatao 700 wanahofiwa kufariki katika kipindi cha siku tatu zilizopita katika bahari ya Mediterranean. Msemaji wa Shirika la umoja wa mataifa linalowahudumia wakimbizi (UNHCR), Carlotta Sami, amesema mashua kadhaa zimezama katika maeneo ya kusini mwa Italia Jumatano usiku ikiwa na wahamiaji hao. Taarifa kutoka kwa baadhi ya wahamiaji waliookolewa zinaeleza kuwa juma lililopita …