Viini Sugu vya Malaria Vyagunduliwa, ‘Havitibiki’

UGONJWA wa malaria huwenda ukaendelea kuwa hatari zaidi kwa sasa baada ya wanasayansi kugunduwa aina mpya ya viini sugu vinavyosababisha ugonjwa huo ambavyo havisikii dawa za ugonjwa huo. Taarifa zinasema watafiti wamegundua uwepo wa viini hivyo Magharibi mwa Cambodia na wanasema kuwa vina umbo tofauti la genetiki ukilinganishwa na viini vingine vilivyopo duniani. Taariza zaidi zinaeleza majaribio ya chanjo ya …

Seneta Mutula Kilonzo wa Kenya afariki Dunia

Taarifa kutoka Kenya zinasema kuwa Mutula Kilonzo, mjumbe wa baraza la senate na waziri wa zamani, amefariki dunia. Mutula Kilonzo seneta wa jimbo la uchaguzi la Makueni amekutwa akiwa amefariki leo (Jumamosi 27.04.2013) akiwa katika nyumba yake ilioko kwenye shamba la Maanzoni katika jimbo la Machakos Makamu wa rais wa zamani wa Kenya Kalonzo Musyoka ametangaza habari za kifo chake …

African Partners Gather to Discuss HIV Viral Load Testing Programmes in Africa

  MORE than 120 HIV clinicians, policy makers, and laboratory scientists gathered in Cape Town, South Africa from 18-20 April 2013 at the invitation of the African Society for Laboratory Medicine (ASLM) (http://www.aslm.org), the World Health Organization’s Regional Office for Africa (WHO-AFRO), the Joint United Nations Programme on HIV/AIDS (UNAIDS), the Society for AIDS in Africa (SAA), and the Southern …

Kenyatta Asisitiza Kuendeleza Ushirikiano EAC

Na Mwandidhi wa EANA RAIS mpya wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesisitiza kuendeleza ushirikiano katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwani amesema ni moja ya nguzo muhimu katika kipindi cha utawala wake. “Lengo letu kuu katika kuimarisha biashara na uwekezaji utakuwa ndani ya jumuiya ya Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla,” Rais Kenyatta alinukuliwa akisema alipokutana na Katibu Mkuu wa EAC, …

Mtuhumiwa wa Uhalifu wa Kivita Auwawa Darfur

MMOJA wa waasi wa Sudan anayeshtakiwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, kwa makosa ya uhalifu wa kivita katika Jimbo la Darfur ameuawa, kwa mujibu wa jopo la mawakili wake wa utetezi. Taarifa zinasema, Saleh Mohammed Jerbo Jamus alifariki dunia Ijumaa iliyopita mchana wakati wa mapigano huko Darfur Kaskazini. Taarifa zinasema mtuhumiwa huyo alitarajiwa kufikishwa mahakamani Mei 2014, kujibu …

Rais Kenyatta Ateuwa Mawaziri Wanne wa Serikali Yake

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameanza mchakato wa kuunda Serikali mpya ambapo ametangaza majina ya mawaziri wanne ikiwa ni mchakato wa kuunda Serikali yake mpya. Mawaziri wanne walioteuliwa ni pamoja na Dk. Fred Okeng’o Matiangi ambaye ni waziri mteule wa Teknolojia na Mawasiliano, Henery Rotich ameteuliwa wizara ya Fedha, James Wanaina Macharia ndiye Waziri mteule wa Afya na Balozi Amina …