Rais wa Ujerumani Aanza Ziara Amerika Kusini

RAIS wa Ujerumani Joachim Gauck Mai 9, 2013 anaanza ziara ya siku tisa katika Bara la Amerika Kusini, ambayo itampeleka kwanza Colombia na baadae Brazil, mshirika muhimu zaidi wa Ujerumani Amerika ya Kusini. Akiwa nchini Brazil, ambayo ndiyo taifa la sita kwa uchumi mkubwa duniani, Gauck anatarajiwa kujikita katika masuala ya kiuchumi, na nchini Colombia atazungumzia haja ya maridhiano ya …

President of the African Development Bank, on the Somalia Conference Held in London

  LEADERS from more than 50 states and international organizations have gathered in London, UK to attend the Somalia Conference today on Tuesday (May 7th, 2013) with the co-chairing of Somalia President Hassan Sheikh Mohamud and UK Premier David Cameron. In light of this event, please find below an Op-Ed signed by the African Development Bank President, Donald Kaberuka (http://www.afdb.org). …

Ndege za Israel Zafanya Mashambulizi Syria

ISRAEL imefanya shambulio la anga dhidi ya shehena ya makombora ya Syria yaliokuwa yakisafirishwa kupelekwa kwa kundi la wapiganaji wa Hezbollah lilioko katika nchi jirani ya Lebanon. Israel ilikuwa imesema kwa muda mrefu kwamba iko tayari kutumia nguvu kuzuwiya silaha za kisasa na zile za sumu za utawala wa Rais Bashar al-Assad kuwafikia washirika wao wa kundi la itikadi kali …

Guantanamo Kufungwa

Huku wafungwa katika gereza la Guantanamo wakiendelea kujitesa kwa kugoma kula, Rais Barack Obama ameahidi tena kulishinikiza bunge la Marekani kulifunga gereza hilo. Katika mkutano na waandishi wa habari jana Jumanne, rais Obama alisema nchi yake haiweze kuendelea kuwaweka watu hao katika eneo lisilo katika himaya ya nchi yoyote milele. Obama alibainisha hoja zake za kulifunga gereza hilo, akisema kuwa …

Mei Mosi Yaadhimishwa kwa Ghadhabu

SIKU KUU ya wafanyakazi ulimwenguni imesherehekewa leo kwa maandamano na ghasia katika nchi mbali mbali. Nchini Ugiriki wanafanya mgomo kupinga sera za kukaza mkwiji na Bangladesh wakipinga mazingira hatari ya kazi. Shughuli nyingi zimepooza nchini Ugiriki kufuatia mgomo wa saa 24 uliotangazwa na vyama vikuu viwili vya wafanyakazi, ambao wanalalamikia sera chungu za kubana matumizi zinazotekelezwa na serikali yao, ikitimiza …

Wanajeshi wadaiwa kuhusika na maafa Baga

Picha za satelite zimeonyesha kuwa nyumba 2,275 ziliharibiwa wakati wa operesheni ya kijeshi ya kuwasaka wapiganaji wa Kiislamu mjini Baga Kaskazini mwa Nigeria mwezi uliopita. Haya ni kwa mujibu wa shirika moja la kutetea haki za kibinadam la Human Rights Watch. Shirika hilo limedai kuwa wanajeshi hao walifanya uharibifu mkubwa badala la kulinda raia na mali yao baada ya wapiganaji …