WATU wane wamekufa na 13 kujeruhiwa katika mkanyagano ndani ya Kanisa la Kievangelisti nchini Ghana. Taarifa zinazohusianaafrika magharibiAjali hiyo ilitokea pale waumini walipoania kufikia maji matakatifu katika tawi la kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN) katika Mji Mkuu, Accra. Ripoti zinasema maelfu ya watu walikuwa wamekwenda kanisani humo. Kanisa hilo liloanzishwa na kasisi wa Nigeria, TB Joshua, ambaye …
Wapiganaji 30 wa Boko Haram Wauwawa Nigeria
TAKRIBAN wapiganaji 30, wa waasi nchini Nigeria, wameuawa kwenye mashambulio ya anga yaliyofanywa na jeshi la serikali, Kaskazini Mashariki mwa nchini hiyo. Msemaji wa jeshi la Nigeria, amesema, ndege za kivita na helicopta zilitumika kushambulia kambi kadhaa wa waasi hao. Aidha ameiambia BBC kuwa ndege moja ilishambuliwa kwa kombora na waasi hao lakini ilifanikiwa kurejea salama hadi kambi yao. Serikali …
Mapambano Dhidi ya Boko Haram Mipakani Nchini Nigeria
SERIKALI ya Nigeria imetuma kikosi kikubwa cha wanajeshi pamoja na silaha kukabiliana na wapiganaji wa kikundi cha Boko Haram katika majimbo matatu ya Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo. Taarifa kutoka kwa serikali ilisema kuwa nia ya kutumwa kwa wanajeshi hao ni kuweza kudhibiti wa sehemu ambazo inaaminika ziko chini ya udhibiti wa wapiganaji hao, pamoja na kuimarisha usalama Jumanne Rais …
Hali ya Hatari Yatangazwa Nchini Nigeria
MSEMAJI wa Rais wa Nigeria, Davip Okupi amesema rais Good Luck Johnthan ametangaza hali ya hatari katika majimbo matatu kaskazini mwa nchi. Akifafanua zaidi ameongeza kuwa hatua ya Rais Johnthan kufanya uamuzi wa kutangaza hali ya hatari ni kuzuia taifa hilo kutumbukia kwenye vita. Msemaji huyo Davip Okupi ameambia BBC kwamba magavana wa majimbo ya Borno, Yobe na Adamawa wameunga …
Wagonjwa wa Akili Watoroka Hospitalini Kenya, Boko Haram wamewateka Watoto
POLISI wanawatafuta wagonjwa karibia arobaini waliotoroka kutoka hospitali ya watu wenye matatizo ya kiakili, mjini Nairobi ya Mathare. Wagonjwa hao wanasemekana waliwashinda nguvu walinzi wao na kutoroka. Zogo hilo lilizuka katika hospitali ya Mathare baada ya kutokea hali ya sintofahamu iliyowahusisha wafungwa arobaini wanaume. Baadhi ya vyombo vya habari vinasema kuwa wagonjwa hao walikuwa wanateta kuhusu hali mbaya na kibinadamu …
Ulinzi Wahimarishwa Uchaguzi Nchini Pakistan
MAMILIONI ya raia wa Pakistan wanashiriki katika uchaguzi wa kihistoria utakaoonesha demokrasia katika kipindi cha mpito kwenye nchi inayomiliki silaha za nyuklia na nchi iliotawaliwa kijeshi kwa nusu ya historia yake. Kundi la waasi la Taliban limeitaja demokrasia kuwa jambo ambalo haliendani na uislamu na wamekuwa wakifanya mashambulizi ya mara kwa mara kwa vyama visivyoegemea misingi ya kidini na kusababisha …