THE Pre-Trial Chamber I of the International Criminal Court (ICC) (http://www.icc-cpi.int) rejected the challenge to the admissibility of the case against Saif Al Islam Gaddafi suspected of crimes against humanity of murder and persecution, allegedly committed in Libya from 15 February 2011 until at least 28 February 2011. The Chamber reminded Libya of its obligation to surrender the suspect …
The Daily Monitor lipo huru kuchapishwa Uganda
SIKU KUMI NA MOJA baada ya kufungwa kwa gazeti la The Daily Monitor, nchini Uganda, hii leo asubuhi, waziri wa usalama wa nchi hiyo, Hillary Onek, alitangaza kuwa gazeti hilo sasa liko huru kuchapishwa tena Redio mbili zinazomilikiwa na gazeti hilo K-FM na Dembe FM nazo pia zimefunguliwa. Hata hivyo Gazeti jengine la Red Pepper ambalo pia lilifungwa bado halijafunguliwa …
Katuni yashika Nafasi ya Kwanza Ujerumani
Tuzo ya kwanza ya AU bila ya magurudumu Katuni iliyopewa jina ” Je tumeshafika?” imechorwa na mchoraji wa Afrika Kusini John Swanepoel na Jonh Curtis. Katika nchi yao wanajulikana kama “Dr. Jack & Curtis.” Wachoraji hao wameshika nafasi ya kwanza katika shindano la tatu kwa mwaka huu la uchoraji katuni la Ujerumani ” Third World Journalist Net” Kwa mwaka huu, …
Brazil Kufuta Madeni ya Afrika
RAIS wa Brazil Dilma Rousseffalitoa matamshi yake katika mkutano wa AU nchini Ethiopia Brazil imetangaza kuwa itafutilia mbali au kuandikisha upya madeni inayozidai nchi za Afrika ambayo yanakisiwa kuwa dola milioni 900. Miongoni mwa nchi 12 zilizo kwenye orodha ya mataifa yanayodaiwa ni pamopja na Congo-Brazzaville yenye uitajiri mkubwa wa mafuta na gesi, Tanzania ambayo hivi karibuni itaanza kuchimba gesi …
JK-Nilazima tutafute Shuruhisho la kudumu Congo(DRC)
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amependekeza Jumuiya ya Kimataifa ijielekeze kutafuta suluhu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kwa njia ya mazungumzo badala ya kutegemea ufumbuzi kwa njia ya kijeshi pekee. Rais Kikwete ametoa pendekezo hilo , Jumapili, Mei 26, 2013, wakati wa mkutano wa kwanza wa Mchakato wa Kikanda wa Usimamizi wa …
Matumaini ya Afrika Katika Miaka 50 Ijayo
Mataifa ya Afrika yanasherehekea miaka 50 tangu kuundwa kwa umoja wa nchi huru za Afrika , OAU, 25.05.2013 jumuiya iliyokusudiwa kuleta umoja wa bara hilo. Mfalme Haille selassie wa Ethiopia na wakuu wa nchi na serikali 31 walikutana mjini Addis Ababa tarehe 25, mwezi wa Mei kuizindua jumuiya hiyo mwaka 1963. Uzinduzi wa OAU , Umoja wa nchi huru za …