RAIS wa Afrika kusini Jacob Zuma, amesema kuwa nchi yote inazidi kumwombea Mzee Nelson Mandela ili apate afueni haraka. Rais huyo wa zamani amelazwa hospitalini Pretoria, ambako anatibiwa maambukizi ya mapafu. Na Rais Jacob Zuma anasema kuwa Nelson Mandela yuko katika hali mbaya sana ingawa madaktari wameweza kudhibiti hali yake. Taarifa zinazohusianaAfrika KusiniKatika taarifa yake Bw. Zuma amesema kuwa japokuwa …
Winnie Mandela Amtembelea Mandela Hospitalini
MKE wa zamani wa Nelson Mandela, Winnie amewasili katika hospitali nchini Afrika Kusini, ambako inaaminiwa rais huyo mstaafu amelazwa akipata matibabu ya ugonjwa wa homa ya mapafu. Mtoto wao wa kike Zenani (Mandela – Dlamini) pia amerejea nchini Afrika Kusini kutoka Argentina ambako anafanya kazi kama balozi wa Afrika Kusini nchini humo, ili awe karibu na baba yake kipindi hiki. …
Baraza la Biashara EAC Lapata Mwenyekiti Mpya
Na Isaac Mwangi, EANA, Arusha BARAZA la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) limemchagua Vimal Shah,Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya BIDCO ya Kenya kuwa Mwenyekiti mpya wa Baraza hilo. Shah alithibitishwa kushika wadhifa huo katika mkutano mkuu wa mwaka wa EABC ulifanyika mwishoni mwa wiki mjini Arusha. Nafasi hiyo hushikwa kwa mzunguko miongoni mwa nchi tano wananchama wa Jumuiya ya …
Watumiaji Kiswahili Nchini Japan Wazidi Kuongezeka
Na Anna Nkinda – Yokohama WATUMIAJI wa lugha ya Kiswahili wamezidi kuongezeka nchini Japani hadi kufikia hatua ya kuwa na mshindano kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Soka kilichopo nchini humo. Hayo yamesemwa leo na Prof. wa chuo hicho Midori Uno wakati akiongea na Mke wa Rais mama Salma Kikwete alipokutana naye katika hoteli ya Intercontinental mjini Yokohama. Prof. Uno ambaye …
Tracing Descendants of Uganda Martyrs
IN probably the first story of its kind, the Daily Monitor today brings you stories of Uganda Martyrs descendants, in a tale that takes you from Namugongo to Luweero and on to Ukerewe, an island on Lake Victoria, in Tanzania. The descendants of Matia Mulumba, the Catholic martyr who has gone on to be beatified and declared a saint, are …
Ban Ki Moon Ampongeza Rais Kikwete Usuluishi DRC
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki Moon amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutoa mapendekezo muhimu na murua ya aina yake ya kuanza kutafuta amani ya kudumu katika eneo la Maziwa Makuu kwa njia ya mazungumzo badala ya kutegemea mapambano ya silaha peke yake. Aidha, Katbu Mkuu huyo wa …