Going global would assure Kiswahili’s eminent status

In 2004, Kiswahili made history by becoming the first African language to be recognised as an official African Union (AU) language. The then AU chairman and Mozambique President, Mr Joaquim Chissano delivered more than a third of his speech in Kiswahili. Spoken by slightly over 120 million people across the world, and with over 150 universities teaching it in USA …

Rais Obama Awasili Ujerumani kwa Ziara ya Saa 25

RAIS Barack Obama wa Marekani ameanza rasmi ziara yake mjini Berlin nchini Ujerumani, iliyoanzia katika Ikulu ya Rais Joachim Gauck ambako alikaribishwa kwa heshima. Katika ziara hiyo Obama amepangiwa pia kukutana na Kansela Angela Merkel na kuhutubia umma katika lango la Brandenburg ambako anatarajiwa kuitolea mwito Jumuiya ya Kimataifa kuongeza bidii katika kuzishughulikia changamoto za dunia. Rais Barack Obama aliwasili …

Uingereza Yaahidi Neema kwa Nchi Zinazoendelea

UINGEREZA imeahidi kuzijengea uwezo nchi zinazoendelea ili ziweze kutambua thamani ya maliasili zake kwa kuwataka wawekezaji katika nchi hizo kulipa kodi inayostahili, kuweka uwazi katika mapato yanayotokana na maliasili hizo na kuweza kuthaminisha ardhi ya nchi hizo kwa manufaa zaidi. Aidha, Uingereza inataka nchi zinazoendelea kutokuwauzia wawekezaji ardhi bali ziwe na uwezo wa kutumia ardhi yake na kuithaminisha kama kitega …

Rais Mohammed Mursi Avunja Uhusiano na Damascus

RAIS wa Misri, Mohammed Mursi amekata uhusiano wote wa kidiplomasia na utawala wa mjini Damascus, na kutoa wito wa kuundwa kwa eneo la marufuku ya kuruka ndege nchini Syria. Mohammed Mursi ametoa kauli hiyo alipokuwa akihutubia mkutano uliyoitishwa na viongozi wa madhehebu ya Sunni mjini Cairo na pia kuwaonya washirika wa rais Bashar al-Assad, kundi la Kishia la Lebanon linaloungwa …

Iran Yapata Rais Mpya

KIONGOZI wa chama chenye msimamo wa Kimhafidhina nchini Iran, Hassan Rouhani ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais nchini Iran uliofanyika juzi. Wizara ya mambo ya ndani nchini humo imesema, Rouhani ameshinda na zaidi ya kura milioni 18, kiwango ambacho ni zaidi ya asilimia 50 ya kura zote zilizopigwa katika uchaguzi huo. Wizara hiyo imesema kuwa, idadi kubwa ya raia wa …

Wairan Wapiga Kura Kumchagua Rais Mpya

Wairan Wapiga Kura Kumchagua Rais Mpya WAGOMBEA kiti cha Rais nchini Iran (pichani juu) wametoa wito kwa wapiga kura wajitokeze kwa wingi vituoni katika uchaguzi ambao kambi ya wapenda mageuzi walioungana wanategemea kuibuka na ushindi dhidi ya wahafidhina waliogawanyika. Wa kwanza aliyeteremka kupiga kura alikuwa kiongozi wa kidini Ali Khamenei aliyewahimiza wapiga kura kwa kusema neema na raha nchini vitategemea …