Nelson Mandela Asherehekea Miaka 95 yu-Mahututi

RAIS wa zamani wa nchi ya Afrika Kusini, mzee Nelson Mandela Julai 18, 2013 ametimiza miaka 95 huku akiwa bado mgonjwa na amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU). Kiongozi huyo maarufu Afrika na duniani kote kwa muda wa wiki takribani sita sasa amelazwa akisumbuliwa na mapafu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu ya nchi hiyo ilisema hali ya …

Mgomo wa Walimu Wafunga Shule za Msingi Kenya

SERIKALI nchini Kenya imetangaza kuzifunga shule zote za msingi za umma kufuatia kuendelea kwa mgomo wa walimu mfululizo ulioingia wiki ya nne hivi sasa. Taarifa zinasema Waziri wa elimu wa nchi hiyo, Profesa Jacob Kaimenyi ametangaza kuzifunga shule hizo, huku akisema kuwa zinafungwa kwa muda usiojulikana. Hata hivyo waziri huyo amewashutumu walimu akisema kitendo walichokifanya si cha kiungwana kwani mgomo …

I Wish to Consider the Development of Digital Social Networks-Pope Benedict XVI

MESSAGE OF HIS HOLINESS POPE BENEDICT XVI FOR THE 47th WORLD COMMUNICATIONS DAY “Social Networks: portals of truth and faith; new spaces for evangelization.” Dear Brothers and Sisters, As the 2013 World Communications Day draws near, I would like to offer you some reflections on an increasingly important reality regarding the way in which people today communicate among themselves. I …

Uchaguzi Mkuu Zimbabwe: Mugabe, Tsvangirai Wapashana ‘live’

MAHASIMU wa kisiasa nchini Zimbabwe, Rais Robert Mugabe na Waziri Mkuu wake, Morgan Tsvangirai wamenadi sera zao kwa malengo ya kulikwamua taifa hilo kiuchumi, ili kuwavutia wapiga kura wao kabla ya Julai 31. Kwa mujibu wa tathmi ya shirika la habari la Ufaransa AFP mahasimu hao waliendelea kujinadi mwishoni mwa wiki ikiwa zimebaki takribani wiki mbili na nusu kufanyika kwa …

M-Pesa, a mobile money platform in Sub-Saharan Africa, is embracing Bitcoin

Thanks to bitcoin, it’s about to become a lot easier to move money in Africa. M-Pesa, a successful mobile money platform in Sub-Saharan Africa, is embracing bitcoin. The service will give rise to transactions with negligible fees (~$0.04), and could dramatically slash revenues of existing money transfer services like Moneygram, Western-Union and Paypal. That is, if the famed untraceable digital …

Mtanzania Auwawa Kinyama Nchini Marekani!

Omar Sykes (D.C. police) MTANZANIA mwenzetu, Ndg. Omar Sykes (22), ambaye alikuwa ni mwanafunzi wa Chuo cha Haward University huko Washington DC, ameuwawa kinyama kwa kupigwa risasi. Tafadhali, soma zaidi habari kamili hapo chini, kama zilivyoripotiwa na gazeti la Washington Post inchini humo: Friends could count on Omar Sykes. For a smile, a hug, an attentive ear, he was always …