Al-Shabaab ‘Wavamia’ Kenya, Wauwa Zaidi ya Watu 30 na Kujeruhi
BAADA ya uvamizi na mashambulio ya risasi yanayodaiwa kusababisha vifo vya watu takribani 30 na zaidi ya 50 kujeruhiwa kwenye duka moja maarufu mjini Kenya, )fisa mmoja mkuu wa kundi la kigaidi la Al-shabaab, ameiambia BBC kuwa kundi hilo ndilo limehusika na shambulizi dhidi ya duka la kifahari la Westage mjini Nairobi Kenya. Kwa mujibu wa Ofisa huyo mashambulizi hayo …
Family’s Beach Photo Shoot Goes Wrong..!
WHAT started last August as a leisurely, enjoyable family reunion beach photo shoot in San Clemente, Calif., quickly turned into one of the most horrifying, yet candidly hilarious moments caught on camera. “In my family we have about 18 of us, and a lot of kids,” Steve Cramer, 32, of Castle Rock, Colo., told GoodMorningAmerica.com. “We started out taking the …
Chama cha CSU Chashinda Uchaguzi Bavaria
LICHA YA CHAMA CHA CSU kushinda kwa kishindo katika uchaguzi wa bunge katika jimbo la Bavaria, uchambuzi unaonesha kwamba ushindi huo unaweza kukiletea mashaka chama cha CDU. Mwenyekiti wa chama cha siasa cha Ujerumani CSU Horst Seehofer akionesha ishara ya ushindi Chama cha CDU ndicho kinachoiongoza serikali ya mseto ya Ujerumani. Hapakutokea kadhia yoyote ya kushangaza katika uchaguzi wa jimbo …
Muuaji Kambi ya Kijeshi US Atajwa
MTU ALIYEWAUA watu 12 katika kambi ya kijeshi nchini Marekani na kisha mwenyewe kuuawa, katika makabiliano na Polisi, ametajwa kuwa mwanajeshi wa zamaji wa jeshi la wanamaji. Aaron Alexis, 34, kutoka Fort Worth, Texas, aliuawa na polisi baada ya kuvamia kambi hiyo na kuwaua watu kiholela , mjini Washington DC. Taarifa zinazohusiana Marekani Watu wengine wanane walijeruhiwa kwenye uvamizi huo …
Marekani, Urusi Zakubaliana Juu ya Silaha za Syria
MAREKANI na Urusi Septemba 14, 2013 wamefikia makubaliano ya kihistoria baada ya mazungumzo ya siku tatu juu ya mpango mkubwa wa kutokomeza silaha za sumu za Syria kufikia katikati ya mwaka ujao wa 2014. Kulingana na makubaliano hayo mataifa hayo mawili yenye nguvu duniani yamempa Rais Bashar al Assad wa Syria wiki moja kuwasilisha maelezo juu ya silaha za sumu …