RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa mwenendo wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuhusu Bara la Afrika na viongozi wake, unainyima Mahakama hiyo nafasi kubwa ya kuungwa mkono na Bara la Afrika. Rais Kikwete pia amelaani vikali mashambulizi yanayoongezeka dhidi ya vikosi vya kimataifa vya kulinda amani katika nchi mbali mbali …
Serikali Yayafungia Magazeti ya Mwananchi na Mtanzania kwa ‘Uchochezi’
SERIKALI imetangaza kuyafungia kutochapishwa Magazeti ya Mwananchi na Mtanzania kuanzia Septemba 27 kutokana na mwenendo wa magazeti hayo kudaiwa kuandika habari na makala za uchochezi na uhasama kwa nia ya kusababisha wananchi wakose imani kwa vyombo vya dola na kuhatarisha amani na mshikamano nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Wizara ya Habari, …
Dozens More Bodies Believed to be Buried Under Rubble of Nairobi Shopping Mall
A number of bodies are still believed to be buried under rubble of the Nairobi shopping mall after the gruesome four-day terrorist siege. As a mortuary in Nairobi said it was preparing for up to 160 new corpses, an intelligence source told the Guardian there was evidence that the number of bodies buried under rubble could be in the hundreds. …
Mashambulizi Katika “mall” ya Westgate Nchini Kenya Yalivyotokea
Washambulizi wa al shabaab waliingia kwenye mall ya Westgate kupitia milango ya mbele na gorofa ya pili wakitokea kwenye sehemu ya kupaki magari, punde tu baada ya kuingia wakaanza kurusha mabomu na kufyatua risasi. Maelfu ya raia wa kawaida wakaanza kukimbia kujaribu kuokoa maisha yao, Inasemekana kuwa Al shabaab walikuwa wanatafuta zaidi watu ambao sio Waislam. Wakachukua baadhi ya watu …
Rais Kenyatta Alihutubia Taifa Kuhusu Uvamizi, Atangaza Siku Tatu za Maombolezo
RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amelihutubia Taifa Usiku huu huku akitangaza siku tatu za maombolezo kuanzia Kesho na bendera kupepea nusu mlingoti, nchi nzima. Rais Kenyatta amesema wakenya na raia wote waliopoteza maisha katika shambulizi la ugaidi watakumbukwa siku zote na majeruhi wanaombewa wapone haraka na kurudi katika hali yao ya kawaida. Miongoni mwa dondoo katika hotuba ya Rais Kenyatta …
Vyombo vya Usalama Kenya Vyaiokoa Wastgate, Wabunge Waogopa Kulipuliwa..!
VYOMBO vya ulinzi na usalama nchini Kenya vimefanikiwa kuokoa Jengo la Maduka ya Kisasa la Westgate lililovamiwa na wanaodhaniwa kuwa ni wanamgambo wa kikundi cha magaidi cha Al-Shabab. Kwa mujibu wa taarifa ambazo mtandao huu umezipata kutoka kituo cha Televisheni cha Citizen cha nchini Kenya, jengo hilo kwa sasa limeshikiliwa na vyombo vya usalama vya Kenya na kinachofanyika hivi sasa …