RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amewaagiza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhahakisha kuwa shule zote za sekondari za kata, zahanati na vituo vyote vya afya nchini kuwekewa umeme haraka iwezekanavyo. Rais Kikwete amesema kuwa kwa maeneo yenye umeme wa Gridi ya Taifa, taasisi hizo za umma zipatiwe umeme kutoka kwenye Gridi hiyo na kwa maeneo yasiyokuwa na …
A First Tanzanian Judge Sworn in as International Reserve Judge in Cambodia
Judge Steven Bwana (centre) from Tanzania accompanied by his wife Angelika Bwana in Official tete-atete through video conference with a Panelist of Judges in Cambodia. Looking on is WFP Representative and Country Director, Mr Richard Ragan, who was acting as the UN Resident Coordinator during the Sworn in Ceremony held at WFP Headquarters in Dar es Salaam.( Above and Below …
Mkutano wa Jukwaa la Katibu Mkuu wa EAC Waanza Nairobi
Na Issac Mwangi, EANA, Arusha MKUTANO wa pili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wa Jukwaa la Katibu Mkuu wa EAC na Sekta binafsi, asasi za kiraia na wadau wengine unafanyika jijini Nairobi, Kenya kwa siku mbili kuanzia Oktoba 7, 2013. “Jukwaa la Katibu Mkuu wa EAC linalenga kutoa nafasi ya majadiliano kati ya Katibu Mkuu wa EAC, sekta …
Wazamiaji 130 Wafa Majini Wakielekea Ulaya
MAOFISA katika Kisiwa cha Sicily cha Bahari ya Meditarenia wamesema wamepata maiti 130 baada ya mashua iliyokuwa imewabeba wahamiaji 500 wa Kiafrika kushika moto na kuzama katika Kisiwa cha Lampedusa. Boti hiyo ilikuwa safarini kuelekea Ulaya lakini ikazama katika kisiwa cha Lampedusa katika pwani ya Utaliana. Taarifa zinasema miili 103 imepatikana baharini huku mingine zaidi kupatikana ndani ya boti lililozama. …
Miaka 23 ya Kuungana Tena Ujerumani
MIAKA 23 baada ya kuungana tena kwa Ujeurmani mbili, mabadiliko yanaonekana katika upande wa Ujerumani mashariki. Miundombinu imekuwa bora ikilinganishwa na magharibi, lakini tofauti za kiuchumi bado zingalipo. Sherehe za kitaifa za kumbukumbu ya miaka 23 ya kuungana tena kwa Ujerumani magharibi na mashariki zinafanyika katika jimbo la Baden-Württenberg, kusini mwa Ujerumani. Kansela Helmut Kohl, ambaye aliesherekea kuungana tena Ujerumani …
Congratulations Zambia. Africa is Proud of YOU!
TANZANIA – Zambian flyweight Champion Penthias Chisenga has set his “PATH” and as he prepare for his impending rumble against the Tanzanian slugger Issa Omari. In a move that may see him becomes the first ever “IBF Continental Africa Flyweight Champion” from Zambia, Penthias is training almost 10 hours a day and as he builds up his fighting arsenals while …