Rwanda, Tanzania zinautawala bora zaidi EAC

Na James Gashumba,EANA   Arusha, Oktoba 17, 2013 (EANA)– Tasisi ya Mo Ibrahim juu ya Utawala Bora Afrika, imebaini nchi za Rwanda na Tanzania kuwa nchi zenye utawala bora zaidi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kati ya nchi 52 za kiafrika.   Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa Jumatatu, Rwanda imepata wastani wa asilimia 57.8 ikiwa ni zaidi ya wastani …

Ndege Yaanguka na Kuuwa Abiria Wote

ABIRIA wote waliokuwa wanasafiri na ndege moja nchini Laos wamefariki baada ya ndege iliyokuwa imewabeba kuanguka mtoni Kusini mwa nchi hiyo. Maofisa kutoka nchi jirani ya Thailand wamesema ndege hiyo ilianguka ndani ya Mto Mekong. Aidha inaarifiwa kuwa ndege hiyo ilianguka kutokana na hali mbaya ya hewa muda mfupi kabla ya kutua katika uwanja wa ndege wa Pakse. Taarifa zaidi …

WFP Yataka Lishe Kuwa Suala la Msingi Katika Mipango ya Maendeleo

SHIRIKA la Mpango wa Chakula wa Umoja la Mataifa (WFP) linaadhimisha Siku ya Chakula Duniani tarehe 16 Oktoba kwa kusisitiza umuhimu wa lishe katika kumbadilisha mtu mmoja mmoja, jamii na uchumi wa taifa, na umuhimu wa kuifanya lishe kama suala la msingi katika mipango yote ya maendeleo. “Wasichana na wavulana wenye lishe duni wanapata changamoto za kiafya , hawawezi kufanya …

EAC Wakubaliana Mgawanyo wa Vituo vya Mafunzo ya Polisi

By James Gashumba, EANA Wakuu wa majeshi ya polisi ya nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamekubaliana kuanzisha vituo mbalimbali vya mafunzo vyenye ubora katika kanda ili kuvijengea uwezo wa kukabiliana na changamoto mbalimbali. Vituo hivyo vitajikita katika masuala mbalimbali yakiwemo ya unyanyasaji wa kijinsia, udhibiti wa majanga, uchunguzi wa makosa ya jinai,udhibiti wa silaha haramu na utii …

Mwapachu Ataka 2014 Utangazwe Mwaka wa EAC

Na Isaac Mwangi, EANA, Arusha KATIBU Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Juma Mwapachu amependekeza kwamba mwaka 2014 utangazwe kuwa Mwaka wa Raia wa Afrika Mashariki katika juhudi za kuzihamasisha nchi wananchama kuanza kujiona kuwa ni wana Afrika mashariki. Akizungumza katika siku ya kwanza ya Mkutano wa Jukwaa la Katibu Mkuu wa EAC kwa sekta binafsi, asasi …